Imagine Aje remix ingekuwa ndio katoa Diamond, tusingekaaa

Lazima nikwambie ukweli akili yako imelala nataka nikuamshe maana hao watu wanapesa zao na maisha yao so na wewe pigana kutafuta maisha yako na mumeo
Kama umepotea jukwaa; tafuta tafuta tu kuna jukwaa la kilimo humu manake hili jukwaa ulilopotelea hizo ndo habari zake...
 
We huna akili kama bashite kumwambia mtu ukweli si kupotea jukwaa anzisha thread yenye kueleweka wewe ukilala ukiamka unamuwaza Alikiba na Diamond na ni mtoto wa kiume tukueleweje
 
Usie na akili ni wewe mpuuzi unaetaka jukwaa la celebrities lijadili kilimo cha matikiti maji!!

Narudia; umepotea jukwaa kwahiyo fanya haraka kutafuta jukwaa linalofanana na wewe na tuondolee umbwiga wako hapa!!!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
eti kilimo cha matikiti maji
 
Usie na akili ni wewe mpuuzi unaetaka jukwaa la celebrities lijadili kilimo cha matikiti maji!!

Narudia; umepotea jukwaa kwahiyo fanya haraka kutafuta jukwaa linalofanana na wewe na tuondolee umbwiga wako hapa!!!!
Una IQ ndogo nkibishana na wewe ntakesha
 
Mpumbavu tu wewe; hebu kalime matikiti maji huko; mbwiga!!! Unaingia jukwaa la celebrities halafu unashangaa kukuta habari za Kiba... sasa kama sio umbwiga tuite nini!!
 
Mlale,mle na mshibe kiba asiwanyime usingizi nyie vilaza
 
Mpumbavu tu wewe; hebu kalime matikiti maji huko; mbwiga!!! Unaingia jukwaa la celebrities halafu unashangaa kukuta habari za Kiba... sasa kama sio umbwiga tuite nini!!
Kweli watoto mliotumia maziwa ya kopo mna matatizo unapayuka tuu wewe unakula na kunya kwa baba na mama siwez nkabishana nawe
 
Harmorapa kiboko ya mabishoo kaifunika hiyo ngoma
 
Mpumbavu tu wewe; hebu kalime matikiti maji huko; mbwiga!!! Unaingia jukwaa la celebrities halafu unashangaa kukuta habari za Kiba... sasa kama sio umbwiga tuite nini!!
Mpotezee uyo jamaa kujikuta kujua kwingi wakati anaishi kwa shemeji yake
 
Kweli watoto mliotumia maziwa ya kopo mna matatizo unapayuka tuu wewe unakula na kunya kwa baba na mama siwez nkabishana nawe
We cho'ko tu mbwiga wewe!!! Narudia; kila jukwaa unaloingia unatakiwa kufahamu nini theme ya jukwaa husika pumbavu zako!!!
 
Usie na akili ni wewe mpuuzi unaetaka jukwaa la celebrities lijadili kilimo cha matikiti maji!!

Narudia; umepotea jukwaa kwahiyo fanya haraka kutafuta jukwaa linalofanana na wewe na tuondolee umbwiga wako hapa!!!!
Hahaha! Bosi msamehe tu, ameshakuelewa mbona! Tatizo anaendekeza ligi tu.
 
Ali kiba ana uwezo ata kushindana na harmonezi tu angali tu hiyo ni video ya niambie ya harmonezi siku mbili tu view laki 4 na kitu huyo ali kiba mwezi na kitu sasa view laki 6 alafu bado watu wanamshindanisha na diamond yani ni dhambi kubwa sana huyu mtu ata msanii aliyoko chini ya diamond anampita mbali hiv
 
Na wewe unamfatilia huyu anayeandika ya Alikiba na Diamond kila siku! Kwa maneno rahisi tunasema hivi..... Yeye ni shabiki wa Alikiba na Diamond na wewe ni shabiki ake.
 
We cho'ko tu mbwiga wewe!!! Narudia; kila jukwaa unaloingia unatakiwa kufahamu nini theme ya jukwaa husika pumbavu zako!!!
Hahaha sijawahi kukuona mkali hivi! Nimecheka sana. kuna watu hawaelekezeki ndugu.
 
Hii remix sijui hata ilipotelea wapi ndani ya siku moja tu ikapotea kwa mawimbi....na mwenye wimbo ndo anasifika kwa kutoa ngoma zenye long term life hii imekaaje mbona imepotea ghafla nn tatzo au kuna fitna zinafanyika
Ilimezwa na muziki wa daresay
 
Hahaha sijawahi kukuona mkali hivi! Nimecheka sana. kuna watu hawaelekezeki ndugu.
We mtoto mzuri kumbe upo?! Halafu unajifanya umeadimika kishenzi...!! Huyo jamaa mpuuzi sana... nilivyopitia posts zake kumbe shabiki la Kiba ndo maana lilikuwa linatoa mapovu hapa!!! Kwahiyo issue sio habari za Kiba na Chibu bali alikuwa anamwaga povu kuona mada ya kuiponda Aje Remix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…