Kama umepotea jukwaa; tafuta tafuta tu kuna jukwaa la kilimo humu manake hili jukwaa ulilopotelea hizo ndo habari zake...Lazima nikwambie ukweli akili yako imelala nataka nikuamshe maana hao watu wanapesa zao na maisha yao so na wewe pigana kutafuta maisha yako na mumeo