Imagine Aje remix ingekuwa ndio katoa Diamond, tusingekaaa

Haha kumbe! Nipo sana hapahapa. Nakuona sana siasani siku hizi.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unamfatilia huyu anayeandika ya Alikiba na Diamond kila siku! Kwa maneno rahisi tunasema hivi..... Yeye ni shabiki wa Alikiba na Diamond na wewe ni shabiki ake.
Umemaliza kila kitu @bintikiziwi
 
Hata aje orijino mbona mbovu tu... Bas tu
 
Tatizo promo,kiba hajui kupromote mziki wake tofauti na dai
 
Tatizo wanalazimha kumpandisha level asiyoimudu hicho ndicho nakiona
 
Yaan hyo remix ni hewa. Bora ile yakwanza. Pia mgt ya bchwa ni hewa.
 
Mmeona isiwe shida , Harmorapa kawarudisha uwanjani kwenu maana Bashite aliwafunika
 
Mmeona isiwe shida , Harmorapa kawarudisha uwanjani kwenu maana Bashite aliwafunika
Na ww ukitaka kiki sema ata unafanana na matako ya rayvanny siku mbili tu unakuwa star maana wcb ndo jumba la kiki

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na ww ukitaka kiki sema ata unafanana na matako ya rayvanny siku mbili tu unakuwa star maana wcb ndo jumba la kiki

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaaaa hata niwe mfu sitopenda kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…