Imagine Aje remix ingekuwa ndio katoa Diamond, tusingekaaa

Imagine Aje remix ingekuwa ndio katoa Diamond, tusingekaaa

We mtoto mzuri kumbe upo?! Halafu unajifanya umeadimika kishenzi...!! Huyo jamaa mpuuzi sana... nilivyopitia posts zake kumbe shabiki la Kiba ndo maana lilikuwa linatoa mapovu hapa!!! Kwahiyo issue sio habari za Kiba na Chibu bali alikuwa anamwaga povu kuona mada ya kuiponda Aje Remix
Haha kumbe! Nipo sana hapahapa. Nakuona sana siasani siku hizi.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unamfatilia huyu anayeandika ya Alikiba na Diamond kila siku! Kwa maneno rahisi tunasema hivi..... Yeye ni shabiki wa Alikiba na Diamond na wewe ni shabiki ake.
Umemaliza kila kitu @bintikiziwi
 
Hata aje orijino mbona mbovu tu... Bas tu
 
Tatizo promo,kiba hajui kupromote mziki wake tofauti na dai
 
Video ipo hewani kwa zaidi ya mwezi sasa lakini hata Views 1M haijafika!! Hiyo VEVO akaunti yake hadi sasa hata subscribers 10K bado hajafika!!!

Wakati Diamond alivyoanza kutumia akaunti ya Vevo wakaanza kupiga vigelegele hapa kwamba janja janja ya kununua views hakuna tena lakini wakati mwenzao hivi sasa ana views zaidi ya 6 Million wao ndo kwanza wanatafuat 1M na subscribers zaidi ya 40K wakati walitofautiana wiki 2 tu!!!

Sasa huyu mkali kuliko wote ambae statistics zote zinamkataa sijui ni mkali wa aina gani!!!!!
Tatizo wanalazimha kumpandisha level asiyoimudu hicho ndicho nakiona
 
Yaan hyo remix ni hewa. Bora ile yakwanza. Pia mgt ya bchwa ni hewa.
 
Mmeona isiwe shida , Harmorapa kawarudisha uwanjani kwenu maana Bashite aliwafunika
 
Mmeona isiwe shida , Harmorapa kawarudisha uwanjani kwenu maana Bashite aliwafunika
Na ww ukitaka kiki sema ata unafanana na matako ya rayvanny siku mbili tu unakuwa star maana wcb ndo jumba la kiki

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom