Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Yanga na CCM ni kulwa na dotto , Kama CCM walivyoleta umasikini ndivyo yanga walivyokwamisha mpira.
CCM wamekujengea mabarabara ...mashule.....madaraja ....viwanja vya michezo

Yanga wanazidi kututangaza kimataifa kupitia eng hersi...

Sasa mkuu.... unataka upewe gunia la chawa Ili uwe satisfied???
 
CCM wamekujengea mabarabara ...mashule.....madaraja ....viwanja vya michezo

Yanga wanazidi kututangaza kimataifa kupitia eng hersi...

Sasa mkuu.... unataka upewe gunia la chawa Ili uwe satisfied???
Hivyo vyote umeshiriki kujenga kupitia Kodi unayotoa, hakuna hata kiwanja kimoja kilichojengwa na ccm vyote vilijengwa kupitia michango ya wananchi.
 
Ignore thread Yes
Ignore member Yes

Approved !
Done.
Dah! Mgosi ndiyo umekosa uvumilivu kiasi hiki! Imagine jamaa hamtukani mtu! Yeye anatufurahisha tu. Hivyo mchukukie tu ili maisha yaendelee.
 
Hali ingekuwa sio poa na tff isingekuwepo na Simba isingekuwepo mpira ungechezwa kama ule wa Botswana mashabiki 15
 
Pia naskia Yanga walikuwepo kwenye harakati za uhuru
Story nilizosikia ni kwamba enzi za harakati za uhuru, wakoloni walikuwa wanazuia mikusanyiko yenye mlengo wa kudai uhuru. Lakini michezo iliruhusiwa, hivyo wazee wakaamua kutumia mwanya wa michezo kufanya vikao vyao. Wakawa wanakutania Kaunda, Jangwani pale.
 
Pia Kuna tetesi kuwa Simba ilikuwa ni ya wakoloni ....jina iliitwa queen...then Sunderland
 
Bila Yanga, bora nchi iuzwe tu. 🤣 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…