Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Imagine hii nchi bila Yanga ingekuwaje?

Yanga na CCM ni kulwa na dotto , Kama CCM walivyoleta umasikini ndivyo yanga walivyokwamisha mpira.
CCM wamekujengea mabarabara ...mashule.....madaraja ....viwanja vya michezo

Yanga wanazidi kututangaza kimataifa kupitia eng hersi...

Sasa mkuu.... unataka upewe gunia la chawa Ili uwe satisfied???
 
CCM wamekujengea mabarabara ...mashule.....madaraja ....viwanja vya michezo

Yanga wanazidi kututangaza kimataifa kupitia eng hersi...

Sasa mkuu.... unataka upewe gunia la chawa Ili uwe satisfied???
Hivyo vyote umeshiriki kujenga kupitia Kodi unayotoa, hakuna hata kiwanja kimoja kilichojengwa na ccm vyote vilijengwa kupitia michango ya wananchi.
 
Ignore thread Yes
Ignore member Yes

Approved !
Done.
Dah! Mgosi ndiyo umekosa uvumilivu kiasi hiki! Imagine jamaa hamtukani mtu! Yeye anatufurahisha tu. Hivyo mchukukie tu ili maisha yaendelee.
 
Hali ingekuwa sio poa na tff isingekuwepo na Simba isingekuwepo mpira ungechezwa kama ule wa Botswana mashabiki 15
 
Pia naskia Yanga walikuwepo kwenye harakati za uhuru
Story nilizosikia ni kwamba enzi za harakati za uhuru, wakoloni walikuwa wanazuia mikusanyiko yenye mlengo wa kudai uhuru. Lakini michezo iliruhusiwa, hivyo wazee wakaamua kutumia mwanya wa michezo kufanya vikao vyao. Wakawa wanakutania Kaunda, Jangwani pale.
 
Pia Kuna tetesi kuwa Simba ilikuwa ni ya wakoloni ....jina iliitwa queen...then Sunderland
 
Kama mchambuzi wiki hii nimewaza sana kuhusu suala hili bila Yanga Tanzania ingekuwaje?...

Yanga wanaiweka busy nchi Kwa matukio yao ambayo wanayafanya mfano ...vile vichapo vya 5G [emoji113]...viliifanya nchi kuwa kwenye trending nzito ...Hadi taarifa zilimfikia rais wa FIFA
Soup day, kutinga group stages, pia hivi juzi tumeona mwenyekiti wa vilabu vya Africa Eng hersi akialikwa na raisi wa heshima wa PSG....Hadi akapiga picha na kina klyan magoli mbape
NB: Binafsi naona bila Yanga ...nchi ingepoa sana ( ingechacha)
Bila Yanga, bora nchi iuzwe tu. 🤣 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom