RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Milliliter sio milimita. Milimita ni urefu,mililita ni ujazo.Milimita 1 ya bier huuzwa kwa tsh 4 huku mtaani wakati milimita moja ya peteol huuzwa chini ya tsh 3 na sent 45. Na hapo ni baada ya kupanda kwa mafuta. Ila ninyi mna bei nzuri sana ya bia. Sisi huku milimita moja ya bia tunainunua zaidi ya tsh 6 na sent 20 kwa bia ndogo wakati tukiinunua tsh 5 na sent 0 kwa bia kubwa. Petrol tunanunua kwa tsh 4 na sent 0 kwa milimita moja. Ah kumbe nachambua vitu vya kijinga!! Acha niende ziwani bhana