Imagine ni wewe sasa,ungefanya nini.?

Scovyboo

Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
33
Reaction score
36
Kama kijana nimeamua kuja huku ,tupeane ujuzi na ushauri,kuna MTU yuko tayari kunipa mtaji wa biashara,kuanzia 1m kushuka chini,je ungekuwa ndo ww ungefanya bizness IPI yenye mzunguko mzuri wa fedha kwa karne hii ya magu.Mimi npo dar .karibuni kuchangia wadau
 
Ni kitu kigumu sana kujuq nini ufanye katika awamu hii.
 
Fanya kile unachokipenda wewe na ndipo fedha zitafata, ila nina hofu ikiwa mpaka anaamua kukupa kiasi cha pesa hajauliza utafanya nini,maana unaonekana haujuwi unachokifanya najiuliza uliweza vipi kumshawishi akupe kiasi cha fedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana una mawazo wengi ya nini ufanye ila uko dilemma.nashauri lete mawazo yako yote hapa halafu tujadili Kwa pamoja

Wa sukumaland
 
Tafuta vijana ishirini,wakabizi birika la kahawa kila mmoja atembeze asubuhi na jioni maeneo ya stendi na viwanja vya mpira.Mwaka mmoja tu,unajenga kiwanda.
 
Kwa mtaji huo mdogo unaweza kufanya yafuatayo:-
1. Kutengeneza mikeka
2. Kutengeza brush za viatu
3. Kutengeneza maua ya artificial
4. Kuuunda power inveter
5. Kuunda vyungu vya maua
6. Kufanya furmigation
7. Kufuga nguruwe
Kipi kati ya haya una mwelekeo? Kama huna mwelekeo wowote jiunge na wenye nguvu za kutembea uanze kutembeza bidhaa za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…