Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kijana nimeamua kuja huku ,tupeane ujuzi na ushauri,kuna MTU yuko tayari kunipa mtaji wa biashara,kuanzia 1m kushuka chini,je ungekuwa ndo ww ungefanya bizness IPI yenye mzunguko mzuri wa fedha kwa karne hii ya magu.Mimi npo dar .karibuni kuchangia wadau
Akitaka kua mwanamziki!?Fanya kile unachokipenda wewe na ndipo fedha zitafata, ila nina hofu ikiwa mpaka anaamua kukupa kiasi cha pesa hajauliza utafanya nini,maana unaonekana haujuwi unachokifanya najiuliza uliweza vipi kumshawishi akupe kiasi cha fedha.
Sent using Jamii Forums mobile app