Imagine this. waliooa/kuolewa

BUT why check his/her purse in the first place? I wouldn't do that anyway.
 

...wanasema kuuliza si ujinga, reaction yako baada ya jibu ndilo litalopima kiwango cha "Ujinga" wako.
 
Mi nisingemuuliza anyway. Ningetumia mbinu nyingine kumtafuta mmbaya wangu, I mean anaenimegea mke wangu...
Unajuaje kama mkeo hajaji-semesha kuwa ni single? au yeye ndo kajilegeza? unafikiri amebakwa?
unatakiwa u-deal na wa kwako kwanza. uta-deal na wanaume wangapi sasa kama mkeo ndo anapenda mitarimbo tofauti tofauti?
 
mie nildhani wanaume ndo wanabeba condoms... kumbe hata kina dada? she might be very depressed to get laid...

Wanaweza kubeba ila kwa walio wengi naamini wanaweza kuzikumba baada ya dak 90 za mchezo. Kwa mizuka yao ile sina hakika kama huwa wanabakiza walau akili kidogo za kukumbuka vitu kama hivyo! Wale wanaoweza kukumbuka basi wanastahili pongezi.

Ila kwa raha, starehe na usalama wenyu (kama wanavyosemaga wadada wa KQ), ni bora kutofikiria maswali kama haya! Yanapunguza siku za kuishi kwa margin kubwa mno!
 
Kabeba za nini? Kwa nini umbebee rafiki yako? Neno la MUNGU linasema, 'Mwanamke asiachwe isipokuwa kwa uasherati' Huyo si wangu tena!!! ni wetu! Kila mtu na hamsini zake FL1.
 
Ok Paka Jimmy nae yuko maternity nini sijamuona mida sasa...aliye na taarifa zake tujuze plz...I missed his words........


Mama PJ yuko nyumbani anaangalia watoto wamepeana zamu na wife
 
Kabeba za nini? Kwa nini umbebee rafiki yako? Neno la MUNGU linasema, 'Mwanamke asiachwe isipokuwa kwa uasherati' Huyo si wangu tena!!! ni wetu! Kila mtu na hamsini zake FL1.

Umejuaje kama amezini?:gossip:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…