Imagine unaishi haya maisha anayozungumzia Montra The Future kwenye hizi lyrics zake

Imagine unaishi haya maisha anayozungumzia Montra The Future kwenye hizi lyrics zake

deonova

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
742
Reaction score
419
Song: Nimekata ringi
Artist: Montra The Future ft Ruby.

Yaeaah
Aaah

Verse 1 (Montra)

Siku hizi sikai home, navunga mageto/

Nimechoka maisha ya kihome, kutishiana beto/

Pocket money ni kicheko, nimefulia/

Nnapokulia, nagongea mpaka whitedento/

Chai ni mpaka jirani akipika, na sio akipika tu mpaka akiniita (come)/

Tena kwa huruma akisema shika, si naogopa kuomba coz nitaaibika/

Kila nilicho nacho nawaza kuweka bondi, naweza ndondi ila naogopa kuiba dhambi/

Mawazo yanafanya nanuna, nakuwa kama zombi/

Sijui nna kwashakoo, maana silagi ila nna kitambi/

Wapi ntapata kazi ya leaving certificate, form 4 nilipasua yai kwa hii zibeti/

Bado natangatanga na sina hata shilingi, maisha yalivyokata kona kweli nimekata ringi/

Chorus; (Ruby)

Ooh na mi sijali, (sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) yeeah

Ooh na mi sijali, (sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) oooh

Verse 2 (Montra)

Aah,

Siku hizi sioni marafiki, naona maadui/

Wamegeuka chui, wote wanajifanya hawanijui/

Mi hainisumbui, nakuwa bedui/

Kona zote nishaweka kambi, kama utando wa buibui/

Rafiki nnayekaa naye, anataka tushee kodi,

Sina kazi na mwenye nyumba daily anapiga hodi/

Nimekonda hadi naogopa kupita road/

Nimebaki na master bee tu, wala sio sexy body/

Naishi mjini kati, choo cha kulipia/

Inabidi niende mlimani, nikitaka jisaidia/

Majirani mselaa daima wanamwambia…..toa huyu mbwa eti asije akakufia!

Nikimpigia mtu simu, anakata pale pale/

Natoa salaam, mtu anazani napiga ukware/

Sura imelendemka utazani nakula ngada/

Uhakika wa kula fresh ni mpaka nikimuona Sada/

Chorus (Ruby)

Ooh na mi sijali, (nami sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) yeeah

Ooh na mi sijali, (sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) oooh

Verse 3 (Montra)

Yeah

Nguo nilizo nazo yani zote za kugongea/

Hizi raba jeans na shati ni Jeri aliniletea/

Watu wamenuna nami hakuna anayenichekea/

Hata dili kama zamani hakuna anayeniletea/

Kwanza ukipata jero, niwanyonge matozi/

Hela yenyewe sio ya diko, ni ya kununua dozi/

Mara kifua kikuu, mara ugonjwa wa ngozi/

Maisha nnayoishi, duh yananimwaga machozi/

Nishaenda Mererani, nikakoswa na ngema manta/

Ikawa ni Mungu tu, salama nikatoka danta/

Nikaapa siji tena, ni bora ushanta/

Nikaomba ukonda, wakasema vaa suti uje smarter/

Ogopa nimesahau verse, na ni msanii kabisa/

Kichwani ni mingi stress, mi nayawaza maisha/

Nimekuwa chokoraa, mtaa nauzalilisha/

Kinywaji changu banana, na mbege ya mailisita/

Bridge; (Ruby)

Forever….this is forever

Aah hah you can hear me, aah!

Forever….this is forever

Aaha aahaa!!!

Chorus (Ruby)

Ooh na mi sijali, (nami sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) yeeah

Ooh na mi sijali, (sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) oooh

Hatari sana huyu jamaa hii mistari seems aliichora akiwa kwenye feelings kali sana.
 
Song: Nimekata ringi
Artist: Montra The Future ft Ruby.

Yaeaah
Aaah

Verse 1 (Montra)

Siku hizi sikai home, navunga mageto/

Nimechoka maisha ya kihome, kutishiana beto/

Pocket money ni kicheko, nimefulia/

Nnapokulia, nagongea mpaka whitedento/

Chai ni mpaka jirani akipika, na sio akipika tu mpaka akiniita (come)/

Tena kwa huruma akisema shika, si naogopa kuomba coz nitaibika/

Kila nilicho nacho nawaza kuweka bondi, naweza ndondi ila naogopa kuiba dhambi/

Mawazo yanafanya nanuna, nakuwa kama zombi/

Sijui nna kwashakoo, maana silagi ila nna kitambi/

Wapi ntapata kazi ya leaving certificate, form 4 nilipasua yai kwa hii zibeti/

Bado natangatanga na sina hata shilingi, maisha yalivyokata kona kweli nimekata ringi/

Chorus; (Ruby)

Ooh na mi sijali, (sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) yeeah

Ooh na mi sijali, (sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) oooh

Verse 2 (Montra)

Aah,

Siku hizi sioni marafiki, naona maadui/

Wamegeuka chui, wote wanajifanya hawanijui/

Mi hainisumbui, nakuwa bedui/

Kona zote nishaweka kambi, kama utando wa buibui/

Rafiki nnayekaa naye, anataka tushee kodi,

Sina kazi na mwenye nyumba daily anapiga hodi/

Nimekonda hadi naogopa kupita road/

Nimebaki na master bee tu, wala sio sexy body/

Naishi mjini kati, choo cha kulipia/

Inabidi niende mlimani, nikitaka jisaidia/

Majirani mselaa daima wanamwambia…..toa huyu mbwa eti asije akakufia!

Nikimpigia mtu simu, anakata pale pale/

Natoa salaam, mtu anazani napiga ukware/

Sura imelendemka utazani nakula ngada/

Uhakika wa kula fresh ni mpaka nikimuona Sada/

Chorus (Ruby)

Ooh na mi sijali, (nami sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) yeeah

Ooh na mi sijali, (sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) oooh

Verse 3 (Montra)

Yeah

Nguo nilizo nazo yani zote za kugongea/

Hizi raba jeans na shati ni Jeri aliniletea/

Watu wamenuna nami hakuna anayenichekea/

Hata dili kama zamani hakuna anayeniletea/

Kwanza ukipata jero, niwanyonge matozi/

Hela yenyewe sio ya diko, ni ya kununua dozi/

Mara kifua kikuu, mara ugonjwa wa ngozi/

Maisha nnayoishi, duh yananimwaga machozi/

Nishaenda Mererani, nikakoswa na ngema manta/

Ikawa ni Mungu tu, salama nikatoka danta/

Nikaapa siji tena, ni bora ushanta/

Nikaomba ukonda, wakasema vaa suti uje smarter/

Ogopa nimesahau verse, na ni msanii kabisa/

Kichwani ni mingi stress, mi nayawaza maisha/

Nimekuwa chokoraa, mtaa nauzalilisha/

Kinywaji changu banana, na mbege ya mailisita/

Bridge; (Ruby)

Forever….this is forever

Aah hah you can hear me, aah!

Forever….this is forever

Aaha aahaa!!!

Chorus (Ruby)

Ooh na mi sijali, (nami sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) yeeah

Ooh na mi sijali, (sijali sijali) Sijalii

Ntafika mbali (nitafika mbali) oooh

Hatari sana huyu jamaa hii mistari seems aliichora akiwa kwenye feelings kali sana.
Asee nimecheka sanaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Songi langu la siku zote maana kali saana!!Kajitahidi saana dogo!Lakini nashangaa ngoma zake zingine baada ya hii sio kali hata kimashairi!
 
Achana kabisa na mbege ya mailisita.Bila kusahau ya Kibosho road.Kilimanjaroooooo,home sweety home.Ila hapo kwenye kuadd banana,lazima uwe na kichwa kizoefu na stimu.Otherwise utakuwa nusu teja.Lyrics kali!
 
Mbona kuna sehemu anasema anakitambi halafu sehemu nyingine eti karendemka kama teja
Naomba ufafanuzi tahadhari maana mimi sio mpenzi wa bongo fleva

Mimi namsikilizaga The Legendary Robert Nesta Marley Bob
 
Motra mc mzuri ila hawa wanaomwambia sijui achange ndo anaharibu kabisa nazan ndo atapotelea uko
 
Kumbe nyimbo ya Rap lazima iwe na na verses 3, alianza poa lakini anaanza kulifata soko kwa sasa, sio mbaya atafute pesa
 
Back
Top Bottom