Imagine unaishi haya maisha anayozungumzia Montra The Future kwenye hizi lyrics zake

Imagine unaishi haya maisha anayozungumzia Montra The Future kwenye hizi lyrics zake

Mbona kuna sehemu anasema anakitambi halafu sehemu nyingine eti karendemka kama teja
Naomba ufafanuzi tahadhari maana mimi sio mpenzi wa bongo fleva

Mimi namsikilizaga The Legendary Robert Nesta Marley Bob
Usifuatilie vina vya kibongo bongo havinaga maana kabisa hivyo boss
 
Hii ngoma aliimbaga alivokuwa chuga na mshikaji mmoja Hivi anaitwa Wiseman
Alivoamia dasalama ndio akatoa na Ruby Tena.
Ni ngoma kali kimtindo
 
Usifuatilie vina vya kibongo bongo havinaga maana kabisa hivyo boss
hiyo line ina maana sana ametumia Metaphorical anasema "sijui Nina kwashakoo, maana Nina kitambi lakini silagi"

hapa anajaribu kukupa picha mtu mwenye Masha magumu kwamba unakua na kitambi cha kwashakoo yaani umekonda maeneo mengine ila una kitumbo flana
 
Chorus ya ruby ilinogesha zaid hii mistar,unaweza kulia ukisikiliza hii ngoma ukiwa kwenye life hilo
 
Back
Top Bottom