Imagine:

Imagine:

Atoti

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
118
Reaction score
6
I just imagined this, nimecheka sana nikaamua kupost humu! Hivi kama sehemu ya siri ya men ingekuwa kama kifutio ukitumia inaisha ingekuwaje?
 
Simple, tungeitumia kwa umakini kwa wanaoistahili tu...

Isitoshe, hilo suala haliwezekani. Ndo maana haikuwa hivyo!
 
kifutio cha aina gani??? Pencil or B'board???? koz kama ni kifutio cha B'board hakiishi kiivo....beside ili kifutio kitumike we need to make mistakes in writing or running out of writing space...so watu tungekuwa careful sana such that tusingemake mistakes........................So hakuna matumizi ya Kifutio.......
 
.

Rubber, kifutio cha pencil! Ingekuwa raha kweli!! Perfect dawa ya ukware..
 
Simple, tungeitumia kwa umakini kwa wanaoistahili tu...

Isitoshe, hilo suala haliwezekani. Ndo maana haikuwa hivyo!

Tanmo, acha hasira lol! It wud v bn so nice dont u think so ingekuwa kwa kipimo..
 
Duh! wengi tungekua na mifutio mifupi sana, haijalishi tumefuta karatasi ngapi bali mara ngapi.
 
Mmmh, vingine vingekua vimeisha hata kabla ya ndoa, so ingekua ni kupumzika tu usubiri kufa!!! kweli umefikiria huna tofauti na Abunuasi!!!
 
Kama ingekuwa hivyo kuisha kama raba, je wachina, wajapani, wakorea wangekuwana nini? may be nodes!
 
Watu wangekuwa flaaaat!
 
naenda kuwasemea kwa mwalimuuuuuuuuu........!!!!!!
 
Kama ingekuwa hivyo kuisha kama raba, je wachina, wajapani, wakorea wangekuwana nini? may be nodes!
Vingekuwa vinaisha kwa kuingia ndani so vyao vingeisha upesi mno... Wangebaki bapa
 
Hahahahah.....mwe!! Sijui umewaza nini, kha!
 
nasema....ni bora kuishi kwa matumaini kuliko wababa wawe na vifutio....
Hahahaaa uuwiii Preta kama nakuona ukisema hayo maneno.. Wangekuwa na nidhamu hao acha kabisa
 
Jamani mbona mnatu-nyanyapaa wababa lakini, mimi nadhani rate ya hiki kifutio kufuta ingelikuwa labda ni twice a year ili kukifanya ki-last long.
 
Back
Top Bottom