Imam Mkuu wa Al-Azhar, Ahmed El-Tayeb ahudhuria mazishi ya Papa Francis

Halafu hata muislamu ukimuona kwenye msiba wa wakristo bado ni unafiki tu

Muislamu anaamini huyo papa kapotea na anaenda motoni huku wakristo wanaamini huyo muislamu kapotea na ataenda motoni

Hapo bora azikwe na watu wa Imani yake kuliko kuleteana unafiki
 
Hiko chuo hamna kitu, kibaongoza kwa kutengeneza waganga

Wasomi wengi wa hapo ndio wale wale wakina BAKWATA
 
Injili ya yesu iko wapi?..tunaona injili za akina mathayo, Marko etc
Endeleen kudanganyana na kuacha ukweli wa MUNGU huku mkifuata maamrisho ya waarabu na shetani

Yaan mumeamua mjipofushe kabisa tena bila aibu kabisa

Injili ni ya YESU KRISTO Luka ni mwandishi tu
 
Endeleen kudanganyana na kuacha ukweli wa MUNGU huku mkifuata maamrisho ya waarabu na shetani

Yaan mumeamua mjipofushe kabisa tena bila aibu kabisa

Injili ni ya YESU KRISTO Luka ni mwandishi tu
Luka hakuwepo wakati wa yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…