Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Yaani nimecheka kweli kama mazuri watu wanateseka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimecheka kweli kama mazuri watu wanateseka sana
Mkuu navyosikia kuna mengine yanakisomo cha juu labda ndio hayo yataokoa jahaziYaani nimecheka kweli kama mazuri watu wanateseka sana
Sifahamu kwakweli, sasa wale walio kufa na elimu au walizawa wakiwaj hivyo hivyoMkuu navyosikia kuna mengine yanakisomo cha juu labda ndio hayo yataokoa jahazi
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mambo ni magumu sana kama wataanguka au laaSifahamu kwakweli, sasa wale walio kufa na elimu au walizawa wakiwaj hivyo hivyo
Duh, kazi ipo.Wadau nipo najiuliza kwa sauti...hili kongamano la kidini ambalo linatrend sana hivi sasa la Imani,Miujiza na Upendo (sina uhakika kama linaitwa hivyo lakini mmenielewa) limenifanya nijifikirishe kwamba mchungaji /Mtumishi ni mzungu/wazungu ,Je kwenye hiyo miujiza ataweza kuyakimbiza mashetani au majini ya kibongo? manake nafikiri kuna majini machahce sana yanayoelewa kimombo..yaani sidhani kama hayo majini/mashetani ya kibongo yanaelewa kiingereza........maana hata kama kuna mkalimani wa lugha lakini kauli yenye ngugu ya kiroho inatakiwa itoke moja kwa moja toka kwenye kinywa cha nabii/mtumishi.mchungaji...Naombeni mnipe ufafanuzi kwa hilo plz kwa wanaojua
🤣🤣Namshukuru Mungu Sina mapepo mkuuYako yataongea kichina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani MUNGU atusaidiye na hizi roho chafu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mambo ni magumu sana kama wataanguka au laa
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Dunia hii hayo si yakusema nikumuomba MUNGU yapite mbali kabisa.[emoji1787][emoji1787]Namshukuru Mungu Sina mapepo mkuu
Mungu akubaliki nduguKila mziki unaucheza kulingana na biti lake,nadhani majini nayo yatakuwa na wakalimani wake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
jombaa majini ya kibongo yana digiriiWadau nipo najiuliza kwa sauti...hili kongamano la kidini ambalo linatrend sana hivi sasa la Imani,Miujiza na Upendo (sina uhakika kama linaitwa hivyo lakini mmenielewa) limenifanya nijifikirishe kwamba mchungaji /Mtumishi ni mzungu/wazungu ,Je kwenye hiyo miujiza ataweza kuyakimbiza mashetani au majini ya kibongo? manake nafikiri kuna majini machahce sana yanayoelewa kimombo..yaani sidhani kama hayo majini/mashetani ya kibongo yanaelewa kiingereza........maana hata kama kuna mkalimani wa lugha lakini kauli yenye ngugu ya kiroho inatakiwa itoke moja kwa moja toka kwenye kinywa cha nabii/mtumishi.mchungaji...Naombeni mnipe ufafanuzi kwa hilo plz kwa wanaojua
Hao wakalimani wa majini watalipwa na nani ?Kila mziki unaucheza kulingana na biti lake,nadhani majini nayo yatakuwa na wakalimani wake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Hayo ni matumizi mabaya ya jina JohnKuna bwana mmoja alikua anajini linaitwa John. Linapiga kingereza mbayaa.. nilikua nishazoea ya Congo yanayoongea kilingala na siku hiyo nilishangaa
Tangu hiyo miaka ya 70 hayo mapepo yapo kwa mtu huyohuyo mmoja au watu tofauti tofauti ili tujue kama toka toka inafaa au haifai...?jibu lako lizingatie kwamba sasa ni miaka 51 imepitaSio kwamba naikosoa imani yangu na ikihesabika hivyo naomba nisamehewe.
Hii hali ya kutoa na kukemea mapepo naona kama imekaa kimaskini maskini, mapepo yamekua yakitolewa na kukemewa tokea miaka ya 70 huko mpaka leo ni toka toka toka tuu, hivi hayo mapepo hayaoni kwamba hawatakiwi yanaendelea kuwa king'ang'anizi tu, au yanapata cha nini mno kiasi cha kustahimili fedheha wanayokutana nayo kutoka kwa manabii wachungaji na mitume?
Mimi nadhani tatizo letu sio mapepo bali mfumo wa mtazamo na akili na umaskini na haswa umaskini iwe umaskini wa akili au mali ndio msingi wa matatizo yote, hao watumishi wa Mungu wange dili na ufunguzi wa fahamu kwa waumini wao kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hisia zangu zinaniambia watajitolea kama ilivyo kwetu binadamuHao wakalimani wa majini watalipwa na nani ?
Nimezungumzia tokea hizi harakati za utoaji mapepo nchi hapa kuanza nime kisia walao miaka ya 70 enzi za wakina kulipa nk.Tangu hiyo miaka ya 70 hayo mapepo yapo kwa mtu huyohuyo mmoja au watu tofauti tofauti ili tujue kama toka toka inafaa au haifai...?jibu lako lizingatie kwamba sasa ni miaka 51 imepita
Mapepo mengi yanafuata mfumo wa chama tawala hayana aibu kabisaNimezungumzia tokea hizi harakati za utoaji mapepo nchi hapa kuanza nime kisia walao miaka ya 70 enzi za wakina kulipa nk.
Hayo mapepo ndio hayatolewi kwa mmoja pekee, lakini tuseme kanisa la kiuokovu labda kanisa A na labda B kila mmoja kanisa ni kwake kila kutaniko ni kukemea pepo na kuyatoa , jana hivyo hivyo, leo na kadhalika kesho, lakini hii ilianzia juzi na juzi yake!
Ndio nikajiuliza hayo mapepo hayaoni aibu kila leo ni kufukuzwa tu kwa nini yasiondoke moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
OkMapepo mengi yanafuata mfumo wa chama tawala hayana aibu kabisa