DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 372
- 310
Wana bodi,
Wimbi la pili la Korona limetupata bila kujiandaa lakini kwa walio wengi ilitokana na athari za kulegeza hatua za kujilinda kabla ya tatizo ku tokomea kabisa. Sidhani kama Tanzania tunaweza kuwa kwenye kundi hili kwasababu tangia mgonjwa wa kwanza kupata ungonjwa huu nchini hatuku chukua hatua za ziada kama zilizo chukuliwa na nchi zingine ili kuwalinda wengi ambao waliokuwa bado hawaja athirika.
Sio jambo ambalo hatujawahi kusikia, wote tunafahamu tamko la serikali kuhusu hili, " Mungu atatu saidia kukabiliana na janga la Korona" . Ni kitu ambacho sio cha kawaida kwa serikali kufikia tamati hii ukizingatia uwezo wa ofisi ya Rais kupata taarifa sahihi kuhusu janga hili ila ninahisi Rais Magufuli ana maanisha kwamba kifo kipo tu. Kuna njia nyingi sana ambazo binaadamu anaweza kufariki tofauti na Korona na kwamba kama siku yako imefika, unaweza kufariki kwa njia nyingine.
Kwenye suala hili mwanasayansi atakwambia kwamba hata kama una imani, imani yako lazima iendane na vitendo. Ugonjwa unaoweza kusambaa kwa watu ku shikana mikono tu ungetakiwa kuchukuliwa hatua kali zaidi mapema. Maamuzi yote yaliyo chukuliwa kuhusu ugonjwa huu yali kusudiwa. Rais Magufuli pamoja na wenzake lazima wana fahamu vizuri sana kuhusu ugonjwa huu na hatua ambazo zinge chukuliwa zamani sana. Sasa hivi, waathirika ni wengi, ila kwasababu takwimu za waathirika haziku chukuliwa mapema lazima itakuwa ngumu sana kwa Serikali kufahamu miji ipi ina waathirika wengi na hatua za kuchukua sasa hivi.