Imani Na Uhuru Wa Dini

Imani Na Uhuru Wa Dini

Kwa hiyo kwenye katiba pendekezwa hamna?
Maana naona habari za Zito tu hapo.

Mnataka watu wawe wanazeekea kwenye uongozi? Viongozi wenye uroho wa madaraka wamevinyofuo vifungu vya ukomo kwa sababu ya uroho wa madaraka na nyinyi vibaraka mnashangilia tu!

Watu tunataka kue kuna mabadiliko sio kukariri kila siku viongozi haohao tu mpaka wanazeekea madarakani kwani wengine wanaofaa kua viongozi hamna?

Kabla ya kuandika....uliza wananchi wenye viongozi kama Ndesamburo....uwaulize kwanin hawamtoi moshi mjini....kiongozi anatumikia wananchi to the extent hatutki aondoke .....wananchi tatizo tunarubuniwa.....miaka 5 ni kipimo kizuri sana cha kumpima mmbunge wako....ukiona hakufai hakun kumpa kura...tatizo ikifik kipind hicho vijihela vijikanga etc tunapewa tunasahau adha ya miaka 5 tuliyoipata....

Wananchi tukiwa serious kweny mamb ya uchaguzi hasa kuangalia utendaji kazi wa mtu..alwayz tutakuw na kiongozi bora...the issue ya ukomo wakati mtu anatekeleza na zaid kile alichoahidi unamtoa wa nini...nenda kawaambie wanamoshi mjini wamtoe ndesamburo usikie utaambiwa nini.......Mchiwa think critical usiburuzwe
 
Back
Top Bottom