Iman ni ile hali yakuamini jambo ambalo ktk hali yakawaida au kibinadam sii rahis mtu kuamin litatokea. Imani ndio pumzi ya uhai wa maisha ya mwanadam pamoja na mafanikio yake. Hakuna mtu aliefika mahal fulan kwa bahati pasipo imani. Upo uhusiano mkubwa kati ya mafanikio ya mtu na iman yake. Imani inakiunganishio ambacho chaweza kuwa Mungu wake ama iman za vitu vinginevyo. Iman inaweza kuwa kubwa au ndogo ila ktk hali yeyote ile imani inatabia za kushangaza sana maana kwa kadir una amin nakuamin basi unakaribia mafanikio yako. Ndio maana mtu mmoja akasema nuwia mambo makubwa ktk maisha yako kwa maana hata kama hutoyafikia ila utayafikia sehem fulan.