Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani Endelevu hujenga. Imani potofu huharibu.Imani ni bayana ya yasiyoonekana na hakika ya yatarajiwayo
Imani = "Elimu ( Mapokeo+Fikra+Malengo+Maono) kwa ajili ya kutawala/kutengeneza/kuharibu Mazingira na vitu vilivyomo. Kuna Imani Potofu na Imani Endelevu." This is according to me!
mkuu niliquote tu kama vp na wewe tafutaa dictionary copy na paste mambo yaende
sor,mm kwangu iman unaweza kuina kwa jins matumiz yake yalivyo,unaweka imani kwa vitu usivyojua????mkuu niliquote tu kama vp na wewe tafutaa dictionary copy na paste mambo yaende
sor,mm kwangu iman unaweza kuiona kwa jins matumiz yake yalivyo,unaweka imani kwa vitu usivyojua kama vitatokea au lah simply ni mind mechanism ili uweze kusubir jambo lisilo na uhakika /QUOTE]
je unahaja ya kuamini kwamba wewe ni kiumbe unaye ishi???au ukishika peni unahja ya kuamini kwamba umeshika peni??imani ni kitendo cha kujiridhisha mwanadam juu ya kile ambacho yeye ana uhakika nacho ndani ya moyo hii ni accoring to me
mkuu hapa katika imani huwa tunaangalia zaid vitu ambavyo havijathibiti kiwazi ila huthibiti kwa dalili zilizo wazi mfano unasema kuw amina ananipenda hapa unaweza kuwa sahihi kwa sababu kitu upendo kipo na hujiidhihirisha kwa dalili zake hapa nna maana ya matendo unajenga imani kuwa unapendwaj
je unahaja ya kuamini kwamba wewe ni kiumbe unaye ishi???au ukishika peni unahja ya kuamini kwamba umeshika peni??