Imani ni nini?

Imani ni bayana ya yasiyoonekana na hakika ya yatarajiwayo
 
Imani = "Elimu ( Mapokeo+Fikra+Malengo+Maono) kwa ajili ya kutawala/kutengeneza/kuharibu Mazingira na vitu vilivyomo. Kuna Imani Potofu na Imani Endelevu." This is according to me!
 
Imani ni kuamini jambo unaloamini bila uchunguzi au ushahidi
 
ni mfano wa kwenda usikokujua na kukutana na usichokijua ...
 
mkuu niliquote tu kama vp na wewe tafutaa dictionary copy na paste mambo yaende

Kwahio wewe ukiona kitu chochote unaquote tu bila kufikiri uhalisia halisi wa jambo?
 
Iman is different from Faith in
the sense that it should not be blind belief,
and should be accompanied by reason.
 
mkuu niliquote tu kama vp na wewe tafutaa dictionary copy na paste mambo yaende
sor,mm kwangu iman unaweza kuina kwa jins matumiz yake yalivyo,unaweka imani kwa vitu usivyojua????
 
sor,mm kwangu iman unaweza kuiona kwa jins matumiz yake yalivyo,unaweka imani kwa vitu usivyojua kama vitatokea au lah simply ni mind mechanism ili uweze kusubir jambo lisilo na uhakika /QUOTE]
 
j
imani ni kitendo cha kujiridhisha mwanadam juu ya kile ambacho yeye ana uhakika nacho ndani ya moyo hii ni accoring to me
je unahaja ya kuamini kwamba wewe ni kiumbe unaye ishi???au ukishika peni unahja ya kuamini kwamba umeshika peni??
 
j

je unahaja ya kuamini kwamba wewe ni kiumbe unaye ishi???au ukishika peni unahja ya kuamini kwamba umeshika peni??
mkuu hapa katika imani huwa tunaangalia zaid vitu ambavyo havijathibiti kiwazi ila huthibiti kwa dalili zilizo wazi mfano unasema kuw amina ananipenda hapa unaweza kuwa sahihi kwa sababu kitu upendo kipo na hujiidhihirisha kwa dalili zake hapa nna maana ya matendo unajenga imani kuwa unapendwa

kwa watu wa dini pia huamini uwepo wa mungu kutokana na dalili ambazo wao wameziona na kujithibitishia kuwa hizo zote ni dalili za mungu
hii kaka nna m maana kuwa imani ni kitu ambacho kipo moyoni na ndio source ya nguvu ya mweanadam
katika kila uchao
leo hii kuna watu huamini kua science is every thing no god and there is no super natural power
kuna watu wanaamini god is every thing nothing come nothing every thing comes from god
na kuna watu huamini mizmu wenyewe huwaita mababu
kuna watu huamini nguvu ya miili yao ndio kila kitu
imani ndio chanzo ha furaha na ndio chanzo ha machafuko
we fikiria pale unapoamini kuwa unapendwa au unapokosa imani juu ya mpenz wako nini hutokea imani ipo ndani hya moyo
 
Imani kwa msingi wa bibilia ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo soma waebrania 12:1, soma utabarkiwa ajab
 
Imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo Yasioonekana..
 
Faith is to believe what you do.."and faith is of thing hoped for a confince of matters not seen a conviction"Hebrews 11:1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…