NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,930
- 920
swala la dini lina nafasi yake kwenye mahusiano- maana hata kama mtu atabadili dini-na mkafanikiwa kuoana-itakuaj kufikia mahali kila mtu anataka kurudi kwenye dini yake-na kuleta usumbufu kwenu na kwa watoto-
hata kama wapo watu wa dini tofauti-ambao bado wapo kwenye ndoa na mambo yanakwenda vyema-nazani huo ni matazmo wetu tu sisi wa nje-ukweli wa mambo wanaujua wao-maana wanaweza kuwa na internal conflict,then wakitoka nje wanabehave normal-so inakuwa ngumu kuwasoma