nakupa mfano:

Tuseme we ni muislam!

unakutana na wanaume wawili, kati ya hao ukatokea kumpenda sana, lakini huyo uliempenda kwa dhati na yeye amekupenda unakuta ni mkristo,

sasa, uko tayari kuusaliti moyo wako kuwa na huyo ambae ni wa dini yako bt hujampenda na kumwacha mpendwa wako kisa dini?
Kimsingi ni vibaya kumbadili mtu dini ili tu umuoe....
Ni vizuri kabla ya kumbadilisha dini mtu umshawishi ili ajifunze imani yako na mwisho maamuzi
ya kubadili dini au la ywe ya kwake tu bila shinikizo
zipo ndoa nyingi imara ambazo watu wapo kila mtu na dini yake....
Ni funny. Baba yangu ni muislamu mama mkristu lakini wote walibaki na dini zao ila baba alikuwa ana prefer sie tuolewe na wakristu though we had wider choice kwa kuwa hata waislamu kwake ilikuwa OK ila tulijua fika anafagilia wakristu zaidi. Wazazi wangu ni couple ya kipekee wamepitia vikwazo vingi sana ila kwa kuwa dady alikuwa provider kwao wazazi hawakumpinga kuoa dini nyingine hawakutaka kumuuzi tatizo ni mashangazi.
we uliolewa na mkristo sio?
baba yako yaelekea kama sio ndugu na wazazi angebadili dini kabisa..
nina ndugu kama baba yako....
Baba si mtu wa kubadili dini ila sijuhi nim define vipi. Anafunga kila mwezi mtukufu. Hali kiti moto na nyumbani kilikuwa hakikanyagi. Ila anakunywa bia. Hasali swala tano mpaka mwezi mtukufu ndio namwona anasali na msikitini anaenda sikukuu tu.
Nadhani ni rahisi kuoa/kuolewa na dini nyingine endapo mmoja wenu au wote si extremist. My dady ni bonge la liberal. Yani yeye anaangalia faida za kile kinachofundishwa na dini na si kubagua mtu kwa dini yake. Mama yangu yeye ni mcha Mungu sana kiasi kwamba walikuja ruhusiwa na kanisa kufunga ndoa ya dini tofauti ili aweze kuendelea kukomunika. Na hii ni baada ya kukaa na baba for more than 20 years na kanisa kuona bado yeye ni muumini mzuri japo hashiriki sacrament.
Ni funny. Baba yangu ni muislamu mama mkristu lakini wote walibaki na dini zao ila baba alikuwa ana prefer sie tuolewe na wakristu though we had wider choice kwa kuwa hata waislamu kwake ilikuwa OK ila tulijua fika anafagilia wakristu zaidi. Wazazi wangu ni couple ya kipekee wamepitia vikwazo vingi sana ila kwa kuwa dady alikuwa provider kwao wazazi hawakumpinga kuoa dini nyingine hawakutaka kumuuzi tatizo ni mashangazi.
inawezekana pia baba yako kwa kuwapenda
alitaka muolewe na watu wenye elimu na kipato kizuri
so aliwapa go ahead ya makusudi ili mpate hiyo
unayoita "a wider choice"
La elimu nakubaliana na wewe ni kigezo kikubwa baba alikuwa akituambia. Ila la kipato ni big no. Hakuna mtu nyumbani aliolewa na tajiri. Wote tumeolewa na vijana wa kawaida kabisa wanaoanza maisha na pesa tumezitafuta wote na waume zetu. Kwa mfano hakuna aliyeolewa na mwanaume mwenye gari. Si unajua vijana wanaoanza maisha especially those years huwezi nunua gari kwa kufanya kazi mwaka mmoja miwili. Mabinti wa kileo ndio bila usafiri hujaoa.