Imani ya watoto

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Nawapenda sana Watoto.

Watoto wanamwamini sana mtu aliyewazidi umri,
Nikiwatembeleaga wajomba zangu
nakerekwa na tabia yao yakuombana ela mbele za watu flani flani ambao ni aibu kusema sina tena anang'ang'ania kama alikupa umtunzie.

Wanaamini kuwa mkubwa kila kitu anacho anachotaka anafanya na hana shida,wanaamini nina ela nawanyima tu kumbe mwenyewe nawaza naipataje.
 
Watoto ni baraka!
Napenda sana watoto, kuna kamoja kananiambiaga mbona hukuwa Mamangu
 
Napenda watoto ila sipendi utoto, mfano Mtoto anayejiliza sitaki anikaribie.
Why? kwasababu sijui kubembeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…