Uchaguzi 2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

Lissu amemshutumu hadharani na wala hajajibu wala kukanusha chochote manake anahusika.
Ukimya nao huwa ni jibu tosha.
Muda mwingine kujibizana na mtu ni njia ya kumfanya awe maarufu kwa jamii ama kuufanya uongo uonekane ukweli.
Magufuli alikuwa sahihi kabisa kukaa kimya hivyo anastahili 5 tena.
Alafu hivi kweli Rais ni wa kujibizana na ka raia kake kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…