Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

Kwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.
Wasiwasi ni kutokuwepo kwa Aucho
 
Adui mwombee njaa Ila Simba waliombewa njaa kwa Galaxy wakapiga 6 warirogakisenge, Mimi sitaki tena kubashiri tusubirie matokeo mpira dakika 90 unachezewa nje na ndani ya uwanja

Timu ishakufa ile
 
Habari zote za kejeli kuhusu simba waulize maskini.
 
Muwe na shukrani, Simba hii haikustahili ata kucheza robo. Ni mbovu kupita maelezo inabebwa na mambo ya nje ya uwanja kuliko uhalisia.
Robo kote huko?
Makundi tu mshike mshike.
 
Wakicheza kwa uchu, kiu na malengo watafika muhimu wasibweteke au kudharau
 
Ulikuwa hata umezaliwa

Yanga haina mambo ya changamoto

Hata akija Alhalyatapata anachostahili

Way to
Final hatuna mpiraa wa mitandao tunataka kwa pitch
Kwamba kutokuzaliwa ndio simba haikufika hiyo nusu fainali ama?

Sawa wa 1961 wakati tanganyika inapata uhuru ulikuwepo, kama ulikuwa haujazaliwa kwahiyo tanganyika haijapata uhuru?

Historia ni sehemu ya maisha, haikwepeki.
 
Simba walikosea sana kutoongoza lile kundi, game ya Asec nyumbani tulistahili point 3, hata ya Galaxy away tulistahili pointi 3, ule uzembe wetu ndio unaweza kwenda kutuumiza sisi na kuwanufaisha utopolo

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni mara nyingi sana tunafanya uzembe. Ila this time na timu yetu pia imezidi ubovu.. Zile jobe na koublan ni kisanga, kibabu saido ni majanga.
 
Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Kama ni consistency, basi kimataifa inambeba zaidi Simba maana tangu michuano ya msimu huu ya Ligi ya Mabingwa afrika ianze, Simba imepoteza mechi moja tu ambayo ni 1-0 dhidi ya Wydad Casablanca
 
Kwamba kutokuzaliwa ndio simba haikufika hiyo nusu fainali ama?

Sawa wa 1961 wakati tanganyika inapata uhuru ulikuwepo, kama ulikuwa haujazaliwa kwahiyo tanganyika haijapata uhuru?

Historia ni sehemu ya maisha, haikwepeki.

Zamani sana
 
Imani yangu ni kwamba yanga atachukua kombe......mimi ni mwana Simba navutiwa na namna Yanga kama timu nzima wanavyojitoa.....timu iko well organised na morali ya juu....

Hata ukiwatazama style ya uchezaji wao unaona kabisa hii timu inapambania kitu......

Kila mchezaji ana kiu ya kuipambania timu kuipa mafanikio......

Ki ukweli Kama wataendelea hivi watafika mbali sana......

Mafanikio ya Yanga yanamuumbua tapeli wa kihindi aliyejivika Joho la uwekezaji hewa.....
 
Kama ni consistency, basi kimataifa inambeba zaidi Simba maana tangu michuano ya msimu huu ya Ligi ya Mabingwa afrika ianze, Simba imepoteza mechi moja tu ambayo ni 1-0 dhidi ya Wydad Casablanca

Explain more

I don’t get it

Ila I am this time wote wapo yanga na hao wengine

More alikuwa anatuaminisha robo ni mafanikio

Sasa tuone Yanga anavoenda mbele na kila bil 4

Huku SSc akifa kiume na mafanikio itakuwa ni kibegi
 
Naona mechi ya Mamelodi ndio itakua ngumu kwa Yanga hao wengine wote waletwe tu wale Mamelodi wana forward yenye uchu sana wa Magoli ila hata hao patachimbika sio kwamba watapita kirahisi na tukipangiwa Wasauzi tukipita watupe Kombe kabisa...naona Mnyama akirudishiwa Wazulu wake tena...
 
Explain more
Sioni sababu za kufanya unabii, maana unaweza ukajikuta unajicontradict. Unasema sababu ya kuipa nafasi Yanga ni consistency (maana yake muendelezo wa matokeo mazuri katika michuano husika),ndio nikakwambia, kama kigezo ni consistency basi Simba is more consistent than Yanga, kwa kuwa katika michuano yote hiyo tangu raundi za awali, Simba imepoteza mechi moja tu, ambayo ni away dhidi ya Wydad, while Yanga amepoteza mbili, Belouzdad 3-0 na Ahly 1-0. Labda ubadilishe kigezo
 
Back
Top Bottom