Wasiwasi ni kutokuwepo kwa AuchoKwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.
NimekuelewaAdui mwombee njaa Ila Simba waliombewa njaa kwa Galaxy wakapiga 6 warirogakisenge, Mimi sitaki tena kubashiri tusubirie matokeo mpira dakika 90 unachezewa nje na ndani ya uwanja
Robo kote huko?Muwe na shukrani, Simba hii haikustahili ata kucheza robo. Ni mbovu kupita maelezo inabebwa na mambo ya nje ya uwanja kuliko uhalisia.
Atakuwa nje kwa msimu wote?Wasiwasi ni kutokuwepo kwa Aucho
Kwamba kutokuzaliwa ndio simba haikufika hiyo nusu fainali ama?Ulikuwa hata umezaliwa
Yanga haina mambo ya changamoto
Hata akija Alhalyatapata anachostahili
Way to
Final hatuna mpiraa wa mitandao tunataka kwa pitch
Ni mara nyingi sana tunafanya uzembe. Ila this time na timu yetu pia imezidi ubovu.. Zile jobe na koublan ni kisanga, kibabu saido ni majanga.Simba walikosea sana kutoongoza lile kundi, game ya Asec nyumbani tulistahili point 3, hata ya Galaxy away tulistahili pointi 3, ule uzembe wetu ndio unaweza kwenda kutuumiza sisi na kuwanufaisha utopolo
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kama ni consistency, basi kimataifa inambeba zaidi Simba maana tangu michuano ya msimu huu ya Ligi ya Mabingwa afrika ianze, Simba imepoteza mechi moja tu ambayo ni 1-0 dhidi ya Wydad CasablancaNi suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Kwamba kutokuzaliwa ndio simba haikufika hiyo nusu fainali ama?
Sawa wa 1961 wakati tanganyika inapata uhuru ulikuwepo, kama ulikuwa haujazaliwa kwahiyo tanganyika haijapata uhuru?
Historia ni sehemu ya maisha, haikwepeki.
Kama ni consistency, basi kimataifa inambeba zaidi Simba maana tangu michuano ya msimu huu ya Ligi ya Mabingwa afrika ianze, Simba imepoteza mechi moja tu ambayo ni 1-0 dhidi ya Wydad Casablanca
Ni wiki tatu, probably mechi ya kwanza ya robo ataikosaAtakuwa nje kwa msimu wote?
Sioni sababu za kufanya unabii, maana unaweza ukajikuta unajicontradict. Unasema sababu ya kuipa nafasi Yanga ni consistency (maana yake muendelezo wa matokeo mazuri katika michuano husika),ndio nikakwambia, kama kigezo ni consistency basi Simba is more consistent than Yanga, kwa kuwa katika michuano yote hiyo tangu raundi za awali, Simba imepoteza mechi moja tu, ambayo ni away dhidi ya Wydad, while Yanga amepoteza mbili, Belouzdad 3-0 na Ahly 1-0. Labda ubadilishe kigezoExplain more
Si mnasema no aucho no problem, sasa huo wasiwasi si ndio problem yenyewe?Wasiwasi ni kutokuwepo kwa Aucho
Hapa inazungumziwa mashindano ya kimataifa sio mechi za ndani.Si mnasema no aucho no problem, sasa huo wasiwasi si ndio problem yenyewe?