Kama ilitokea kuchepuka either mke au mume kuna namna mtoto anaoneka haswa kwa watu wanao ona, kuna alama fulani huwa zipo wazi wazi.Ina uhalisia nusu kama mchepuko akiamua kufanya mambo ya giza
Joto na nguvu ya nyota ndio huleta athari za waziKama ilitokea kuchepuka either mke au mume kuna namna mtoto anaoneka haswa kwa watu wanao ona, kuna alama fulani huwa zipo wazi wazi.
YeahJoto na nguvu ya nyota ndio huleta athari za wazi
Zamani walikua wakiamini kupitia miungu /Mizimu kupitia Koo husika lkn teknologia imekuja kuharibu lengo kabisa nakutufanya mapunguani kila unachoambiwa unaona sawa Mimi katika Imani yangu ya Mizimu ya Koo naamini hiloKwenye jamii zetu au huku mitaanj kuna story zinasema,, Mume au Mwenza wa kiume akienda kucheat(kuchepuka) hali ya kuwa Mkewe au Mpenziwe ni mjamzito anaweza kusababisha matatizo kwa mtoto au mama kabla/wakati wa kujifungua au kupeleka mtoto/mama kupoteza maisha kabisa.
Hii imekaaje kwenye ulimwengu wa kiroho au ulimwengu huu wa nje..?
Hapn usaliti Toka enzi na enzi upoMnaingizwa kwenye mfumo wao ili msichakate mbususu nyingineπ π π π π
ππππππKweli kabisa ujauzito unaweza kutoka ama mama na mtoto tumboni wakafa kama mke akikagua simu ya mumewe na kuona meseji za kimahaba na matukio ya kukutana kupiga sho kati ya mume na mchepuko, akimaliza kusoma hizo meseji lazima litafutwe gari la wagonjwa.. ila mume aki cheat kimya kimya bila ushahidi wa meseji za simu haitaleta shida yoyote kwe mama mjamzito mpaka kuzaa kwake.