Bei siyo siri bali zinatofautiana kulingana na idadi ya cameraUngeweka Bei ama ni Siri , inakuwa Kama ni ramli. Ila sijui , ngoja mchina atunyooshe labda akili itakuja
Wapi nimesema camera 1 milioni 5?Camera moja milioni 5 ?
Wapi nimesema milioni 29 ?Cctv full 29 milioni hapana kwa kweli
Nitakupigia unipe mahitaji yako.Tunaomba huduma 0655290084 Mwanza
Pamoja
Milioni9 hapana kwakweli mkuu nilijua laki kumi na tisa
Sasa si ndiyo ungeweka hiyo bei kulingana na hiyo idadi ya camera! Mbona ni zoezi dogo tu.Bei siyo siri bali zinatofautiana kulingana na idadi ya camera
Mbona sikuelewi hebu nionyeshe mahali nilipotaja milioni 29 .Punguza Bei camera 5 unauza 29m acha utani mkuu
System ya camera inahusisha vifaa vingi kama dvr,hard disk,cable,power supply, router na bnc ili ikamilike siyo kama biashara TV au nguo kwamba bei yake inajulikana sababu inajitegemea hivyo idadi ya camera na mahitaji ya mteja ndo yanafanya bei ziwe tofauti mfano wewe ukawa unhitaji camera 2 bila router na mwingineb akahitaji camera 3 na router bei haziwezi kufananaSasa si ndiyo ungeweka hiyo bei kulingana na hiyo idadi ya camera! Mbona ni zoezi dogo tu.
duuh hizo camera za kuona mwezi auMilioni9 hapana kwakweli mkuu nilijua laki kumi na tisa
Naona kuna watu wameamua kunichafua makusudi maana hakuna sehemu nimetaja bei hizo nimewaambia wanionyeshe sehemu niliyotaja hiyo bei hawaonyeshi sasa sijui lengo lao niniduuh hizo camera za kuona mwezi au