Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

System ya camera inahusisha vifaa vingi kama dvr,hard disk,cable,power supply, router na bnc ili ikamilike siyo kama biashara TV au nguo kwamba bei yake inajulikana sababu inajitegemea hivyo idadi ya camera na mahitaji ya mteja ndo yanafanya bei ziwe tofauti mfano wewe ukawa unhitaji camera 2 bila router na mwingineb akahitaji camera 3 na router bei haziwezi kufanana
Acha ngonjera taja Bei mbna Alibaba Kila bidhaa inabei? Acheni usenge kama hamuwez taja Bei msitangaze biashara zenu
 
System ya camera inahusisha vifaa vingi kama dvr,hard disk,cable,power supply, router na bnc ili ikamilike siyo kama biashara TV au nguo kwamba bei yake inajulikana sababu inajitegemea hivyo idadi ya camera na mahitaji ya mteja ndo yanafanya bei ziwe tofauti mfano wewe ukawa unhitaji camera 2 bila router na mwingineb akahitaji camera 3 na router bei haziwezi kufanana
Ndiyo uweke huo mchanganuo sasa.
 
Muuza camera usipaniki. Lengo la watu ninkukutaka uweke bei! Hii ya kusema sijui inategemeana na router au wire nadhani vinepitwa na wakati.

Wewe sema camera moja ni shilingi kadhaa, router ni shilingi kadhaa, posho ya ufungaji ji shilingi kadhaa mtu anajipima.

Shida mnadhani watu ni weupe sana hadi mseme mnakuja kufanya savei ndio gharama ijulikane. Watu wanaweza wenyewe kujua kwa mazingira yangu haya nahitaji camera mbili au tatu nk....

Jaribu kufanya biashara yako iwe rafiki. Tuache mambo ya ramli ili mtu ajue anakutafuta akiwa na budget gani!
 
Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu.
Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja.
-Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7
  • Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision
  • Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na kufuatilia camera
  • Tunatoa huduma ya matengenezo baada ya kufunga camera zetu ( after sale service) bure kwa miezi 3
  • Tunatoa huduma mikoani kwa gharama za mteja ( nauli,chakula na malazi)
  • Tunafanya site survey bure ili kujua gharama halisi ya vifaa na huduma.
Tupo Dar es Salaam kwenye jengo la posta house ghorofa ya 3. Kwa maelezo zaidi tupigie simu namba 0764308320. Karibu tukuhudumie.
Wateja wapo wengi, ila una kwama kwenye eneo la marketing. Be specific taja gharama ya vifaa vya system nzima.
 
Wapi nimesema milioni 9
Unapoa tangazo la bei weka bei hata kama kwa makadilio ya chini na juu mfano unaweza kusema gharama zote si chini ya lak3 na haizidi laki5 hapo mtu anakuwa ana idea ya kitu husika usipoweka bei ndo hivyo tutajipangia na kujinguzia wenyewe.

Vitu vyote vinavyohitajika Unavijua bei hadi na ya fundi kwanini usiweke bei yake?
 
Naomba tumalize ubishi kwani sina ninachokificha ,bei ni kama ifuatavyo
1. Set ya camera 4 yenye hard disk ya 1TB, dvr Port 4,cable 100M,power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh. 800,000/=
2. Set ya camera 8 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 8,cable 200M, power supply pamoja gharama za ufundi bei yake ni sh.1,100,000/=
3. Set ya camera 16 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 16,cable 300M, power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh.2,200,000/=
NB. Camera zetu ni 2MP
Cc: Nikifa Mkewangu Asiolewe, Bin S,pamoja Santa, Kambaku, Tate Mkuu, Munch wa annabelletz47, Black Mirror, Fogoh 2
 

Attachments

  • IMG-20250427-WA0027.jpg
    IMG-20250427-WA0027.jpg
    127.3 KB · Views: 40
Naomba tumalize ubishi kwani sina ninachokificha ,bei ni kama ifuatavyo
1. Set ya camera 4 yenye hard disk ya 1TB, dvr Port 4,cable 100M,power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh. 800,000/=
2. Set ya camera 8 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 8,cable 200M, power supply pamoja gharama za ufundi bei yake ni sh.1,100,000/=
3. Set ya camera 16 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 16,cable 300M, power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh.2,200,000/=
NB. Camera zetu ni za 2M
Hapo sawa.ila pia siku nyingine kabla ya kupiga picha kata kucha kwanza
 
Kwa hiyo uwingi wa camera ndo ukubwa wa hard drive au inakua sio lazima kwa uzoefu wako kiongozi
 
Back
Top Bottom