Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Acha ngonjera taja Bei mbna Alibaba Kila bidhaa inabei? Acheni usenge kama hamuwez taja Bei msitangaze biashara zenuSystem ya camera inahusisha vifaa vingi kama dvr,hard disk,cable,power supply, router na bnc ili ikamilike siyo kama biashara TV au nguo kwamba bei yake inajulikana sababu inajitegemea hivyo idadi ya camera na mahitaji ya mteja ndo yanafanya bei ziwe tofauti mfano wewe ukawa unhitaji camera 2 bila router na mwingineb akahitaji camera 3 na router bei haziwezi kufanana
Ndiyo uweke huo mchanganuo sasa.System ya camera inahusisha vifaa vingi kama dvr,hard disk,cable,power supply, router na bnc ili ikamilike siyo kama biashara TV au nguo kwamba bei yake inajulikana sababu inajitegemea hivyo idadi ya camera na mahitaji ya mteja ndo yanafanya bei ziwe tofauti mfano wewe ukawa unhitaji camera 2 bila router na mwingineb akahitaji camera 3 na router bei haziwezi kufanana
Wanataka uende inbox wakuning'inize kimya kimyaNdiyo uweke huo mchanganuo sasa.
Wateja wapo wengi, ila una kwama kwenye eneo la marketing. Be specific taja gharama ya vifaa vya system nzima.Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu.
Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja.
-Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7
Tupo Dar es Salaam kwenye jengo la posta house ghorofa ya 3. Kwa maelezo zaidi tupigie simu namba 0764308320. Karibu tukuhudumie.
- Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision
- Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na kufuatilia camera
- Tunatoa huduma ya matengenezo baada ya kufunga camera zetu ( after sale service) bure kwa miezi 3
- Tunatoa huduma mikoani kwa gharama za mteja ( nauli,chakula na malazi)
- Tunafanya site survey bure ili kujua gharama halisi ya vifaa na huduma.
Unapoa tangazo la bei weka bei hata kama kwa makadilio ya chini na juu mfano unaweza kusema gharama zote si chini ya lak3 na haizidi laki5 hapo mtu anakuwa ana idea ya kitu husika usipoweka bei ndo hivyo tutajipangia na kujinguzia wenyewe.Wapi nimesema milioni 9
Hapo sawa.ila pia siku nyingine kabla ya kupiga picha kata kucha kwanzaNaomba tumalize ubishi kwani sina ninachokificha ,bei ni kama ifuatavyo
1. Set ya camera 4 yenye hard disk ya 1TB, dvr Port 4,cable 100M,power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh. 800,000/=
2. Set ya camera 8 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 8,cable 200M, power supply pamoja gharama za ufundi bei yake ni sh.1,100,000/=
3. Set ya camera 16 yenye hard disk ya 2TB ,dvr port 16,cable 300M, power supply pamoja na gharama za ufundi bei yake ni sh.2,200,000/=
NB. Camera zetu ni za 2M
Hahaha! Sawa nasubiri simu yakoHapo sawa.ila pia siku nyingine kabla ya kupiga picha kata kucha kwanza