Maccm ni akina Abubakar Liongo, Steven Nyerere, mwijaku, Wenje na mashetani wengine kibao, ni wizi na ufujaji wa pesa za walipa kodi, ICC inawangojea fanyeni ujinga wote lakini mjue mwisho wa siku ni kufungwa tu , mwisho mwa ubaya ni Aibuleo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana
Humu ndio kisimaniNyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.
Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.
Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Watafungwa hususani IGP na RPC wa Mwanza, Dar, Mbeya, Arusha, mara, Songwe na Geita kuliporipotiwa vifo vingi zaidAmeshavurugwa asubiri ICC
Wewe unatumia vpn?Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.
Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.
Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Kwenye hilo na wewe umoNyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.
Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.
Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Awe na heshima kwa rais aliyejiweka madarakani kwa umwagaji wa damu?!Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.
Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.
Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Inaonesha jinsi walivyo wapumbavu ; huyo mtu mwenye fedha kiasi hicho cha kuwahonga vijana wote walioandamana , si wangemkamata wakati anafanya zoezi hilo na vyombo vya ulinzi wanavyo? Wamekuja kujua kuwa kuna mtu alikuwa anagawa fedha baada ya kuwaua vijana na wao kuwa accountable? Hii mbinu yao itashindwa!Itasaidia nini sasa
Respect is earned! Ataheshimiwa vipi wakati yeye hakuwaheshimu wananchi kwa kuharibu uchaguzi toka mchakato kuanza mpaka yeye kujipachika urais?Awe na heshima kwa rais aliyejiweka madarakani kwa umwagaji wa damu?!
Well said.Watafungwa hususani IGP na RPC wa Mwanza, Dar, Mbeya, Arusha, mara, Songwe na Geita kuliporipotiwa vifo vingi zaid
Watatapatapa sana, lakini mwisho wa siku the truth will prevail.leo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana ingia instagram search accunt ya NURUVAZI yupo live ana host HABIL anatoa nondo na ushahidi siwezi upload link maana ni kinyume na taratibu za JF
-Vijana watatoa ushahidi wakiwa wamekifunika sura
- vijana wameahidiwa milioni 3 kila mmoja
Maelezo yote ya hizo task force kuvujisha anatoa habil and kabil ingia TikTok search account summerclif00
Instagram ingia account ya NURUVAZI
Faki zati bichi.Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.
Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.
Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Chukueni pesa yenu halafu mmgeuke huyu sheitwaan kebirleo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana ingia instagram search accunt ya NURUVAZI yupo live ana host HABIL anatoa nondo na ushahidi siwezi upload link maana ni kinyume na taratibu za JF
-Vijana watatoa ushahidi wakiwa wamekifunika sura
- vijana wameahidiwa milioni 3 kila mmoja
Maelezo yote ya hizo task force kuvujisha anatoa habil and kabil ingia TikTok search account summerclif00
Member: wanaume 8
Watu wa intelijensia: 3
Wanawake: 4
Instagram ingia account ya NURUVAZI