Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo wewe ulidhani atakusaidia vipi kutimiza ndoto zako? Ikiwa yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?

Haya ndio madhara ya kutohudhuria vikao vyetu
 
Alinikutanisha na watu wengi Sana anaofahamiana nao.
Nilimwandalia kila kitu na budget ilikuwa 11m alinipa ushahidi kuwa ako na 5m bank na kwakuwa ni muajiriwa sekta Fulani nzuri alinambia kuwa atakopa Ili kufanikisha hilo maana amevutiwa na Mawazo yangu .
Days goes on tulivyo fanya ngono tuu makida makida zikawa nyingi.
 
Hao ni wakula mbususu tuu. Usijidanganye kuwa mwanaume maenzio alikuwa mjinga kumkimbia
Mimi single mother simli kavu maana najua naweza tegeshewa siku zote natumia kinga kwa single mother huku kwengine naweza uza mechi ata mara moja
 
Sjida yake hasa ni nini? Mjeuri haoleki au ana shida gani?
 
Mimi single mother simli kavu maana najua naweza tegeshewa siku zote natumia kinga kwa single mother huku kwengine naweza uza mechi ata mara moja
Ah wee mbususu unakulaje na ndom bwana....akishika mimba sii ujinga wake unamuacha tuu....kwani ustawi wa jamii watakulipisha bei gani?
 
Kwahiyo wewe ulidhani atakusaidia vipi kutimiza ndoto zako? Ikiwa yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?

Haya ndio madhara ya kutohudhuria vikao vyetu
Nisamehe Sana brother.

Nimejifunza.

Pia malezi yangu yanaweza kuwa sababu ya mimi kuwa hivi .

Niliyafanya yote haya Bila kujua .

I was young and dumb

Nilijaribu kuomba USHAURI humu KWA baadhi ya members wakongwe lakini hawakunipa msaada wowote
 
Hiyo ni gear ya wanawake, hata mimi wakati nimemaliza chuo niliwahi kutana na maza flani akaniaminisha atanisaidia kutimiza ndoto zangu, akawa ananikutanisha na watu wakubwa wakubwa na wengine mashuhuri.
Kumbe ananitaka mimi I was so naive hata kuona kilichokuwa kinaendelea.
Bahati huo ulofa wangu ndio uliniokoa maana watu wote walionizunguka walihisi natembea nae, mimi hata picha nilikuwa siiioni naona tu ana roho nzuri mpaka pale alipokuja kunitamkia ila ilikuwa baadae sana nshapita njia zangu.
Kama anafaa kuwa mke oa tu. Kwani baba wa mtoto wake wa kwanza yupo?
 
Huwa tunatumia matatizo yetu kuhalalisha kwamba kikuchokukuta wewe lazima wengine kiwakute haiko hivyo.

Huyo ni wa kwako tu wengine wamepata single mama na wanafurahia maisha
 

Yes yupo brother,
Sina plan ya kuoa kaka .
Maana kishika uchumba nililazimishwa kutoa .
Na age yangu bado ndogo Sana nipo na mengi ya kutimiza.

Back then nilijua nikimpangia nyumba na kuishi nae kidogo ataniacha niende kumbe maamuzi ni kuacha mwenyewe. Ni miaka miwili sasa .

Akili imefunguka ,nimechoka kuwa na stress , anxiety na suicidal thoughts .

Nimepitia kipindi kigumu mno .

Sasa inatosha
 
Huwa tunatumia matatizo yetu kuhalalisha kwamba kikuchokukuta wewe lazima wengine kiwakute haiko hivyo.

Huyo ni wa kwako tu wengine wamepata single mama na wanafurahia maisha
Pamoja kaka .

Hongera zao.
 
Acha kuwaza kujiua, acha kabisa kama unavyosema wewe bado mdogo chukuw hatua ila usimtelekeze mwanao
 

Kwaiyo umenasa mzee wangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jikaze ndo ukubwa
 
Ukisha ona mwanamke haeleweki na hajielewi, usilale nae bila vifanyio
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…