Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

Status
Not open for further replies.
Glenn

#YNWA
 
Peleka juu pale uongezeee

#YNWA
 
Sijaelewa ila mkuu haukutongozwa bali ulijipeleka mwenyewe tena ulimtumia mtoto kujiweka karibu na huyo mwanamke
 
Kumbe ulifata mteremko,,, halafu shtuma unazitua kwa singo mamas,,, we nae mshenzi mshenzi flani tu
 
Sasa tatizo linakuja pisi Kali nyingi mjini zimefanywa single Mamas.. sema wanajua kupenda hao[emoji23][emoji23][emoji23]

Naweza kusema single Mama's ni moja ya makundi ya wanawake wanaojua wanataka Nini.. baada ya kuvurugwa na tamaa zao akili zikawakaa sawa
 
Kumbe ulifata mteremko,,, halafu shtuma unazitua kwa singo mamas,,, we nae mshenzi mshenzi flani tu
Wewe ndiye unaesema kwamba nilifuata mteremko.
Mteremko en niuze Biashara niliyokuwa namiliki nimpangie nyumba.
Tulikaa chini akakubali Kuinvest hela yake kwangu .. Ilipofika kipengele cha legal structures akasema usihofu hakuna tatizo.

Swala la ngono lilikuja mwezi mmoja baadae .. I was selling my freedom without knowing.

Unaweza kuja pm kuniuliza maswali yote unayotaka kunifanyia background check ujiridhishe kabla unishutumu
 
Sijaelewa ila mkuu haukutongozwa bali ulijipeleka mwenyewe tena ulimtumia mtoto kujiweka karibu na huyo mwanamke
Sikutumia mtoto kujiweka karibu nae , mpaka hivi sasa napenda watoto hata Jamii inayonizunguka inajua hilo .

Yeye ndo alitumia udhaifu wangu Kunihadaa na alifanikiwa.

Kuna muda Jambo linatukia na hushtuki unakuja kuamka baadae .

Umri wangu mdogo , akili ambayo haijakomaa , malezi ambayo nimejilea mwenyewe toka nlikuwa na miaka 9 yamechangia mimi kuwa nilivyo.
 
NDIO MADHARA HAYO YA KUNYWA SODA WALIZO ACHA WENZIO 🤣
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…