Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 336
- 1,960
Sina chembe ya udini Ila nataka mnieleweshe imeandikwa wapi kwamba urais ni wa kupokezana ?
Imeandikwa wapi kwamba akitoka Rais mkatoliki anakuja muislamu?
Imeandikwa wapi wapi kwamba Rais akiwa muislamu Makamo wake anakuwa Catholic au Rais akiwa Catholic Makamo anakuwa muislamu?
Zanzibar hakuna Christians? Wanaoweza kuwa Makamo wa Rais wa Tanzania ?
Zanzibar kwanini hawapokezani urais Kati ya Catholic na Muslim?
Je Zanzibar ni Taifa? Je ni Taifa la kiislamu?
Naomba kueleweshwa Nani aliweka hizi taratibu uchwara na za kijinga?
Kwanini tuchague Viongozi kwa sababu ya dini zao?