Imeanzishwa Media ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

Imeanzishwa Media ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
By Hilda Newton

Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025.

Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali.

Media inatwa @Mo29Tv
 

Attachments

  • 20260322_135953.jpg
    20260322_135953.jpg
    30.2 KB · Views: 24
Labda ioperate from abroad!
Ndio ila ilipaswa wawe strategic isiwe direct hivi. Kuna media moja kule YouTube iinaitwa sijui "TamTam" au "Utamu" nimeisahau kidogo ila video yake moja ina views hata 2 million.

Ukifuatilia kwa makini wanaweka video moja kuhusu mambo ya chumbani na udaku alafu video inayofuata wanaweka hotuba ya Lissu or habar random za chadema!

Aisee ile channel wajanja sana waliweza kuwafikia watu wasiopenda siasa kwa mlango wa nyuma.

Hawa wamekwapa vipi? Kuja direct hivi kutawafanya TCRA waivuruge kabla haijaanza hata leseni hawatoipa.
 
By Hilda Newton

Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025.

Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali.

Media inatwa @Mo29Tv
useless & completely nonsense media
 
By Hilda Newton

Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025.

Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali.

Media inatwa @Mo29Tv
Safi sana lakini credentials zake ikiwemo database visiwe nchini Tanganyika
 
Back
Top Bottom