Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
TAYARI imebainika, woga wao ni kuzuia Mhe. Mbowe asitumie jukwaa rasmi ili kuulezea ulimwengu uhuni na wepesi wa hoja za mwana CCM Msigwa.
CCM wanatumia Polisi na Msajili ili kumlinda Msigwa, Yaani CCM wanatangaza vita kisha wanakufunga mikono ili usijibu mapigo.
Kama mnajiamini Sana na huyo MTU wenu acheni floor iamue.
Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani