Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kutulisha tango pori!actualy ni katiba. i dont remember exactly kifungu kipi. but somewhere wameainishi hili jambo.
Baelezeee!Awamu inategemea mabadiliko ya uongozi ndio mana zanzibar wako awamu za mbele kuliko Tanganyika na ilitokea baada ya Karume Sr kuuwawa na Jumbe kutolewa pia.
Kama awamu ni miaka basi hii si awamu ya sita maana Nyerere alitawala awamu almost nne. Au kwake hili la miaka haliapply?kisheria awamu ina miaka 10. kila awamu moja ikiwa na mihula miwili,muhula mmoja ukiwa na miaka mitano.
awamu ya JPm haikuisha, mama samia ana inherit awamu ya jpm ambayo ya tano, kumalizia vipindi vyake. japo ni rais wa sita.
kwenye awamu hatuangalii rais.
Wewe ndo DUNYA kabisa.....ukiongozwa na hawa madunya wenzio.kisheria awamu ina miaka 10. kila awamu moja ikiwa na mihula miwili,muhula mmoja ukiwa na miaka mitano.
awamu ya JPm haikuisha, mama samia ana inherit awamu ya jpm ambayo ya tano, kumalizia vipindi vyake. japo ni rais wa sita.
kwenye awamu hatuangalii rais.
Acha ushamba na kukariri, hii ni awamu ya sita pimbi we.
Ni awamu ya sita mzee ndio maana tunafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano kwa kila miaka mitano ni awamu ilisomeka awamu ya tano kwenye kipindi cha pili anakuwa rais yuleyule wa tano kwa hiyo hii in awamu ya sitaHii sio hawamu ya sita, ni awamu ya tano ikiwa na rais wa sita.
Nyerere alikaa madarakani miaka karibia ishirini na tano ni karibu vipindi vitanoMnahangaika na vyeo
Hii ni awamu ya tano yenye Rais wa 6 ambae anatekeleza kiporo.
Pia ukumbuke anatimiza kazi ya marehemu aliyoinadi kipindi cha kampeni sio ya kwake.
Huyo ni Mataga na kasema hivyo kwa lengo maalumu.Acha ushamba na kukariri, hii ni awamu ya sita pimbi we.
Haikuwa lazima iishe Katiba inatuambia Rais anachaguliwa kila baada ya miaka mitanoawamu ya tano ya mhe jpm. haikuisha. anaendeleza ni mama samia.
ndio maana huko juu wanaandika sixth president na sio sixth term.
Ya marehemu yote yanaisha na kusahaulika leo hii saa kumi na moja jioni.Mnahangaika na vyeo
Hii ni awamu ya tano yenye Rais wa 6 ambae anatekeleza kiporo.
Pia ukumbuke anatimiza kazi ya marehemu aliyoinadi kipindi cha kampeni sio ya kwake.
Nyie MATAGA tushawaambia hii ni awamu ya Sita, hatutaki mambo ya awamu ya tano ya kuuana, vitisho, ukabila, udini, ukanda na kutekana.kisheria awamu ina miaka 10. kila awamu moja ikiwa na mihula miwili,muhula mmoja ukiwa na miaka mitano.
awamu ya JPm haikuisha, mama samia ana inherit awamu ya jpm ambayo ya tano, kumalizia vipindi vyake. japo ni rais wa sita.
kwenye awamu hatuangalii rais.
SwadaktaCha muhimu rais wa awamu ya tano hayupo tena
Unajua maana ya kuapa kuwa Rais? kama bafo ni awamu ya tano aliapa ili awe nani?Mkuu kwa mujibu wa katiba yetu awamu ni miaka kumi yenye mihula miwili ya miaka mitano mitano. Kwa hiyo mama Samia ni Rais wa awamu ya 5.
MATAGA awamu yenu ya tano tunaifukia kwenye udongo muda si mrefu then tunaanza awamu mpya ya Sita.Ili iwe awamu ya sita lazima kuwe na general election
MATAGA awamu yenu ya tano tunaifukia kwenye udongo muda si mrefu then tunaanza awamu mpya ya Sita.
Umejisahaulisha kuwa bado tunatekeleza ilani ya ccm 2020 to 2025? Acha ukichwa panzi wewe! Yale yote ya kwenye ilani Raisi mama Samia atayasimamia!Kiutawala hapa Tanzania awamu za uongozi humaanisha muda anaokaa madarakani Rais. JPM awamu yake imekuwa ya miaka kama mitano na ushe hivi. Mwinyi, Mkpa na Kikwete awamu zao zilikuwa ni miaka kumi kumi hivi.
Nyerere awamu yake ilichukua zaidi ya miaka 20. Mama Samia awamu yake inaweza ikawa ya miaka 9unusu hivi kama akifanya vizuri.
Ili Rais wetu mama Samia aweze kufanya vizuri ni muhimu aanze kujitambua mapema kuwa amebeba awamu yake ya sita ni sio kuwa anaendeleza awamu ya 5. Anatakiwa mapema sana ajipambanue kama alivyofanya JPM.
Pamoja na JPM kujaribu kuitofautisha awamu yake na za watangulizi wake alitia dosari utofauti huo kwa kuanza kwa maneno yake kuponda mambo yaliyofanywa na watangulizi wake - ilifikia hadi kuashiria kuwa awamu ya nne ilikuwa ya majizi, akijisahaua kuwa naye kwenye hiyo awamu alikuwemo kama kiongozi.
Kwa sasa Mawaziri wanatoa maelekezo kwa watendaji wao na kuanzia jumamosi kesho tayari mambo yanaendelea kufanyika kana kwamba Samia anafanya yale yaliyopangwa na awamu ya tano. Wanataka kumfanya Mhe. Mama Samia aamini kuwa hii ni awamu ya tano kumbe sio. Wanamfanya asiamua kupanga Timu yake upya.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango aligoma kata kata kuongeza mishahara ya wafanyakazi hata 0.5% tu akidai kuwa Mkubwa wake amempa hayo maelekezo kuwa mwaka 2021/22 hakuna ongezeko. Ukweli hakuna hata punguzo la kodi kwa mishahara kama mwaka uliopita kutokana na maelekezo ya Mkubwa, wakiamini kuwa ushindi wa mwaka 2020 utawabeba tu katika maamuzi yao ya kibabe.
Mheshimiwa Mama Samia Suluhu umeletwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe ili uweze kuweka suluhu - tafadhali subirisha Mpango Bajeti unaoharakishwa ili ukumbuke hata wafanyakazi wako kwa nyongeza hata 05%.
Makundi mengi yameumia sana awamu ya tano, anza kwa kulifariji hili kundi la wafanyakazi kwanza kwa kusimamisha mipango ya Mawaziri hao ambao wapo msibani huko wanatoa tu maelekezo kana kwamba awamu ya tano inaendelea. Tutofautishe awamu hizi kwani tathmini hufanyika kwa awamu na mwenye naye hiyo awamu.
Ajabu sana!
Trump ni rais wa awamu ya ngapi marekani? Na Biden ni rais wa awamu ya ngapi?Kisheria awamu ina miaka 10. kila awamu moja ikiwa na mihula miwili,muhula mmoja ukiwa na miaka mitano.
awamu ya JPM haikuisha, mama samia ana inherit awamu ya JPM ambayo ya tano, kumalizia vipindi vyake. japo ni Rais wa sita.
kwenye awamu hatuangalii Rais.
Kichwa panzi wewe! Acha ndoto za alinacha.Mataga ndo CCM ama?maana bado Ccm wapo madarakani iwe awamu ya tano au ya sita bado mnatawaliwa na chama kubwa