Imebaki masaa machache sana wajisahaulishe kuwa twapaswa kuanza awamu ya sita na sio kuendeleza awamu ya tano

Kama awamu ni miaka basi hii si awamu ya sita maana Nyerere alitawala awamu almost nne. Au kwake hili la miaka haliapply?
 
Wewe ndo DUNYA kabisa.....ukiongozwa na hawa madunya wenzio.
Uongozi wa nchi ngazi ya Rais ni miaka mitano.
Ikiwa chama chake kitamuona anafaa kuendelea,kitampa nafasi ya kugombea nafasi ya kugombea nafasi ya awamu ya pili....hivyo kukamilisha miaka 10.

Miaka kumi si guarantee......miaka mitano ndo ipo kikatiba and ndo maana tunafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Hapo vyama ndo huwa na uamuzi wa ama anaendelea aliyekuepo au wanateua wengine.

Rejea Zanziba.....wana awamu 8 mpka sasa....ila kuna Rais aliyekaa mwaka mmoja...kama sikosei mzee Mwinyi au Wakil....wenye kumbukumbu watanisaidia.

So,awamu hii ya mama Samia ni awamu ya Sita. Na akimaliza hiki kipindi kilichobaki,chama chake ndo kitaamua ama agombee tena au aishie hapo.


Ni hayo tu. Na nimekuita na kuwaita wenzako madunya kwakuwa huwa hamjipi muda wa kusoma au kutafuta elimu ya mnachojadili.

Na hii JF kwasasa imejaa wale form four ya 2012.........yaani ni taabu tupu.
 
Hii sio hawamu ya sita, ni awamu ya tano ikiwa na rais wa sita.
Ni awamu ya sita mzee ndio maana tunafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano kwa kila miaka mitano ni awamu ilisomeka awamu ya tano kwenye kipindi cha pili anakuwa rais yuleyule wa tano kwa hiyo hii in awamu ya sita
 
Mnahangaika na vyeo

Hii ni awamu ya tano yenye Rais wa 6 ambae anatekeleza kiporo.


Pia ukumbuke anatimiza kazi ya marehemu aliyoinadi kipindi cha kampeni sio ya kwake.
Nyerere alikaa madarakani miaka karibia ishirini na tano ni karibu vipindi vitano
 
awamu ya tano ya mhe jpm. haikuisha. anaendeleza ni mama samia.
ndio maana huko juu wanaandika sixth president na sio sixth term.
Haikuwa lazima iishe Katiba inatuambia Rais anachaguliwa kila baada ya miaka mitano
 
Mnahangaika na vyeo

Hii ni awamu ya tano yenye Rais wa 6 ambae anatekeleza kiporo.


Pia ukumbuke anatimiza kazi ya marehemu aliyoinadi kipindi cha kampeni sio ya kwake.
Ya marehemu yote yanaisha na kusahaulika leo hii saa kumi na moja jioni.
 
Nyie MATAGA tushawaambia hii ni awamu ya Sita, hatutaki mambo ya awamu ya tano ya kuuana, vitisho, ukabila, udini, ukanda na kutekana.
 
Mkuu kwa mujibu wa katiba yetu awamu ni miaka kumi yenye mihula miwili ya miaka mitano mitano. Kwa hiyo mama Samia ni Rais wa awamu ya 5.
Unajua maana ya kuapa kuwa Rais? kama bafo ni awamu ya tano aliapa ili awe nani?
 
MATAGA ndo CCM ama? maana bado CCM wapo madarakani iwe awamu ya tano au ya sita bado mnatawaliwa na chama kubwa
MATAGA awamu yenu ya tano tunaifukia kwenye udongo muda si mrefu then tunaanza awamu mpya ya Sita.
 
Umejisahaulisha kuwa bado tunatekeleza ilani ya ccm 2020 to 2025? Acha ukichwa panzi wewe! Yale yote ya kwenye ilani Raisi mama Samia atayasimamia!
 
Trump ni rais wa awamu ya ngapi marekani? Na Biden ni rais wa awamu ya ngapi?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…