Imebaki masaa machache sana wajisahaulishe kuwa twapaswa kuanza awamu ya sita na sio kuendeleza awamu ya tano

Wewe ndio dunya.
Hii ni awamu ya tano ila Rais wa sita. Rais Samia aligombea akiwa mgombea mwenza wa Magufuli. Sera na ahadi za Magufuri ndio sera na ahadi za Samia.
Kwa hii miaka minne anamalizia awamu ya tano ambayo tuliwachagua 2020.
Usisahau kuwa Samia aligombea 2020
 
Wewe ndio dunya.
Hii ni awamu ya tano ila Rais wa sita. Rais Samia aligombea akiwa mgombea mwenza wa Magufuli. Sera na ahadi za Magufuri ndio sera na ahadi za Samia.
Kwa hii miaka minne anamalizia awamu ya tano amba
Sawa.
 
Hivi awamu ya uongozi wa Rais tunaangalia nin?
 
Vyovyote vile ilivyo, iwe awamu ya sita au Rais wa sita, Mh.Rais afanye kazi kwa mujibu wa katiba na maono yake, sio kumlazimisha afanye yale aliyoacha mtangulizi wake.
 
Haikuwa lazima iishe Katiba inatuambia Rais anachaguliwa kila baada ya miaka mitano
and yes baada ya miaka mitano tumemchagua jpm. bahati mbaya hakumaliza muda wake. Mungu kampenda zaid RIP.
Lakin katiba hiyo hiyo inasema in the incident rais akifariki,makamu wake huchukua hatamu ya kuongoza.
na hachaguliwi kwa kura.
anaendeleza muda uliobaki until next election
 
Awamu ya sita ni jina tu ila ilani inayotekelezwa ni ile aliyoinadi Magu 2020-2025.

Kitendo cha Samia kutoonekana akiwa na barakoa wala kutilia mkazo juu ya hilo ni ushahidi tosha kuwa ataendeleza mabaya na mazuri ya mtangulizi wake.

Sioni jipya na wala halipo.
 
Ilani inaelekeza kutovaa barakoa? Akifuata ilani ndo kabisaaa hatafanana na Jpm. Sioni ni kwa namna gani Samia atakuwa Jpm.
Ni either awe mbaya zaidi, au mzuri lakini kuwa Jpm sidhani.
 
Ilani inaelekeza kutovaa barakoa? Akifuata ilani ndo kabisaaa hatafanana na Jpm. Sioni ni kwa namna gani Samia atakuwa Jpm.
Ni either awe mbaya zaidi, au mzuri lakini kuwa Jpm sidhani.
I'm responsible only for what I write not what you understand!
 
Maku
 
Acha ushamba na kukariri, hii ni awamu ya sita pimbi we.
To be honest, inategemea na mtu mwenyewe anavyotafsiri neno awamu. Hakuna official definition ya kisiasa ya neno hilo kwa kiswahili na ukizingatia kuwa neno hili lilianza kutumika sana baada ya kutoholewa wakati ule mzee rukhsa akiwa rais wa zanzibar. Wenye kumbukumbu na kujua historia wanakumbuka sana mzee Mwinyi alipoanza kulitumia sana neno hilo kila alipokuwa akiashiria serikali yake ya kipindi kile huko zanzibar.
 
Umejisahaulisha kuwa bado tunatekeleza ilani ya ccm 2020 to 2025? Acha ukichwa panzi wewe! Yale yote ya kwenye ilani Raisi mama Samia atayasimamia!
Ilani ya CCM ndio inasema miradi mingi iende Chato,kutekana,kuuana,udini,ukanda,ukabila na kuwatelekeza Wafanyakazi?
 
Umemjibu vizuri sana hii ni awamu ya sita
 
I'm responsible only for what I write not what you understand!
Kama kueleweka si tatizo lako andika kwenye diary yako ujisomee sio kwenye public forums.

Huku usipoeleweka utaulizwa ili utoe maelezo ya unachomaanisha labda uwe haupo sawa akilini.
 
Mgombea mwenza ama makamu ameandaliwa ili kuendeleza aliyoyaacha Raisi aliyekuwako madarakani.

Anaweza kufanya maboresho ama mabadiliko lakini sio kama Raisi akiyechaguliwa...

So Samia is Magu2....

Mama sukuma twende kwa mwendo wa Magu
 
unafanya kazi dukani kwa Patel au mpuuzi wewe hivi unajua vigezo vya taifa lolote kupandisha mishahara ni nini?? kwa ufupi tuu kwa maana naona elimu yako ni ndogo sana na nisingesitahili kukujibu,, Kigezo cha upandishwaji wa mishahara ni :Inflation Rate: haya nenda kasome na usinywee mkopo,, 2015 inflation rate ilikuwa juu sana karibu 11% na leo iko karibia asilimia 3 tatizo mmesoma kupasi mitihani siyo kuelewa
 
Acha ushamba na kukariri, hii ni awamu ya sita pimbi we.

😎😎😎 sitaki kuamini eti umechukia kuambiwa tuu awamu ya tano rais wa 7 hadi kumuita binadamu mwenzio pimbi
Eh! Mbona hayo ni mambo madogomadogo sana kwa wanaume🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…