Imebaki tuchongeane tu basi.....Airtel

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
3,588
Reaction score
3,194
Nimewapigia simu leo hii ikapokelewa na mdada fulani. Issue ni kwamba kama naweza kupata sim card ambayo inaweza ku-fit kwenye simu ya Samsung Galaxy SIII. Akaniambia kuwa wanatoa kama promotion ila lazima ninunue simu toka kwao. Sasa nikawaambia kama wanatoa kama promotion si waniuzie mimi kwa kuwa sijanunua simu toka kwao? Akaniambia kuwa kuna watu wanakata hizo line mjini niwatafute. So, nikawaambia kwa nini nisumbuke kuwatafuta na hali ninyi mna uwezo wa kunitengenezea line hiyo na mnapata mteja? Akanikatia simu. So, ngoja niende TiGo naona wanatangaza hizo sim card.
 
Usiwajali sana hawa watu kwa sasa, tukichukua nchi 2015, watanyooka tu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…