Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Na ingewekwa neno hapa kazi tuHuku Bongo watu wangetumia dakika tatu tu kuibuni hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ingewekwa neno hapa kazi tuHuku Bongo watu wangetumia dakika tatu tu kuibuni hiyo.
Its a lifetime logo inayozingatia mpaka spiritual sideNdio ukweli Huo ata hawatafuti attention, unajua thamani ya design ya logo ya BBC? Japokuwa ilikuwa ni miaka mingi imepita Ila ilikuwa $1,800,000. Shangaa mtu kapewa Huo Mpunga kudizaini Tu BBC inafurahisha Sana, au logo ya Pepsi ukiona simpo Tu ila expensive
Wenzetu wanachukulia serious sana na wanaheshimu Sana kazi ya mtu, huku kwetu mtu akikwambia umtengenezee logo ukisema laki 5 Tu unaskia poa nitakuchek, ndo harudi huyo na ajabu atapata atakaetengeneza ata Kwa elf 90,
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Kaka inaonekana upo vizuri sanaHata Tanzania zipo logo zenye cost angalau, I think TPB Bank logo.
Personally bila TZS 2M kwa small scale, 8+M kwa medium scale na 20+M kwa large scale kwa Tanzania sifanyi logo.
Nimecharge TZS 2M+ kwa logos tofauti kimataifa na zimeonesha kuwa chachu kwa ukuaji wa kampuni/shirika na brand zake kiujumla.
Tanzania tasnia ya creativity, design na illustration (Sanaa kwa ujumla) inadharaulika maana watu wao wamezoea kutumia maguvu kuliko akili.
Nitakudanya nikieleza kwamba creativity inafundishwa. Labda kuwa mentor kushauri, kusaidia na kuelekeza Kupitia experience, na makosa niliyo yaona yakifanywa.Kaka inaonekana upo vizuri sana
Naomba uwe mentor wangu kwenye logo design
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mmhhh.Its a lifetime logo inayozingatia mpaka spiritual side
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hata Tanzania zipo logo zenye cost angalau, I think TPB Bank logo.
Personally bila TZS 2M kwa small scale, 8+M kwa medium scale na 20+M kwa large scale kwa Tanzania sifanyi logo.
Nimecharge TZS 2M+ kwa logos tofauti kimataifa na zimeonesha kuwa chachu kwa ukuaji wa kampuni/shirika na brand zake kiujumla.
Tanzania tasnia ya creativity, design na illustration (Sanaa kwa ujumla) inadharaulika maana watu wao wamezoea kutumia maguvu kuliko akili.
Kila kitu kila pande mbili kimwili na kiroho na kila upande una nguvu yakeMmhhh.
Explain pls
Mmhhh.
Explain pls
OK.Nina tatizo kidogo na mnyama twiga
Alama ni kitu muhimu kwenye jambo lolote hasa kwa upande wa mafanikio na ustawi wa kitu, hii hujumuisha hata rangi, wanyama na alama nyinginezo. Kuna baadhi ya nchi kutokana na imani zao kali kwenye mambo ya giza hawaanzishi kitu bila kuwaona wataalam ili wawashauri alama na rangi za kutumia...www.jamiiforums.com
Mara nyingi watu wenye mawazo endelevu hufikiria mbali hadi vizazi vijavyo. Kea kutumia hili ni sawa na maono katika ustawi wa kila kitu kwa kuiona kesho.OK.
I got you.
Kwa Topic yako hio ya mnyama twiga...means biashara inaweza ikasimama au ikawa opposite si ndio!?
Bank ya NBC katika logo yake ina mnyama twiga lkn ni zaidi ya miaka 50 sasa ipo kwenye biashara na inafanya vizuri.
Another question : ina maana wahusika kabla Kutengeneza logo wanakuwa washafanyia kazi maono kujua kama biashara utakuwa firm for lifetime?
Hilo neno maono sijui kama nimelitumia sawa na limeeleweka?
Ahsante mkuu ntakutafutaNitakudanya nikieleza kwamba creativity inafundishwa. Labda kuwa mentor kushauri, kusaidia na kuelekeza Kupitia experience, na makosa niliyo yaona yakifanywa.
Nipo tayari.
Karibu.
Ni sawa lakini si mara zote huwa hivyo bali kwa sehemu kubwa na sometimes kuna kupata na kukoseaOK.