Biashara Zina changamoto nyingi kama eneo ulipo, uhitaji wa wateja, uaminifu wa wauzaji au muuzaji mwenyewe, yaani isiwe make au mume wnachukua ela ya biashara kisiri Siri biashara itakufa, kukopesha ni adui katika biashara ukimkopesha mteja unatengeneza uadui na anahama kwenda kununua Kwa mwingine.
Chuma ulete, hawa ni wachawi wanaoiba ela za biashara Kwa nguvu za Giza hakikisha unaikinga biashara yako dhidi ya wanga, matumizi hakikisha matumizi Yako yasizidi kipato champ ishi chini ya kipato champ, punguza wategemezi isiwe mtoto wa mjomba, mara wa kaka wanakuja kuishi kwako au kua tegemezi kwako ni hatari.
Pia soma alama za nyakati mfano nafaka msimu wa nafaka kama unga ninja mahindi saga dona au sembe uza utapata faida kubwa kuliko kununua unga special pia nafaka kama maarage ninja kipind cha mavuno. Nunua bidhaa kulingana na uhitaji wa wateja na sio personal interest Yako yakuleta bidhaa unazozitaka wewe.
Pia fanya utafiti wa nani anauza bidhaa Kwa bei nafuu ukanunune Ili ukija kuuza upate faida mzuri, Epuka kukopa kopa alafu mzigo ulete kwenye biashara kwani Kuna mda biashara inakua mzuri na mda inakuangumu hvyo penda kuuza mtaji wall we we mwenyewe.
Acha ulevi unapofanya biashara mfano ulevi wa kucheza kamari, kubeti, ulevi wa sigara, wanawake, pombe nk uwa vinarudisha nyuma sana uendelevu wa biashara. Usiruhusu iila mtu auze biashara yako uza mwenyewe au make wako na mke kama haelaweki uza mwenyewe ukiwa na dharura funga biashara ukirud utafungua.
Kuna wakati mwingine mke mnakubaliana msikopeshe hehe anawakopesha mashoga zake biashara inakufa bila kuelewa chanzo. ukizingatia hayo machache biashara utafanikiwa.