Imedhihirika wazi CCM ni chama kilichojaza wanafiki na wachumia matumbo.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Hayati Mwl Nyerere aliwagundua wanafiki wa CCM ambao walikuwa wanamuambia kuwa asijiuzulu sababu akijiuzulu hakuna kiongozi wa kuiongoza Tanzania. Mwl aligundua kuwa wengi walikuwa wanahofu ya matumbo yao. Maana walijua akijiuzulu na teuzi zao zimekufa. Hivyo walikuwa hawana ulaji.

Ndio hawa wanaCcM wa leo ambao wakati hayati JPM yupo hai walijikomba kwa kila namna. Hawakuweza kushauri ukweli na kusimamia taaluma zao. Hii ni sababu walijua kuwa kujipendekeza kinafiki ndio kunafanya wao wapate mkate na kulisha familia zao.

Mbali ya haya tunayoshuhudia na kuona maajabu ya wanaomsaliti aliyekuwa role model wao wa kisiasa. Ukweli ni kuwa Ccm ni chama cha wapiga madili na wala rushwa wakubwa. Kwa hiyo ni ngumu kwao wawe na rais ambaye anabinya mianya yao ya rushwa na upigaji dili.

My take; Ccm ni watu wabaya sana hasa linapokuja suala la ufisadi, wanaweza kumfanyia mtu kitu kibaya kabisa.
 
Malisa_GJ_on_Instagram:_“Just_imagine_huyu_alikua_mmoja_wa_washauri_wa_Rais_JPM._Tena_mshauri_...jpg
 
Ukiona mtoto wa kiume mnafiki kiasi hichi kisa kusaka nafasi ya kula, basi ujue hata "KULIWA TUNDA KIMASIHARA" yupo tayari kwaajili ya nafasi ya kula.

Kama yeye yupo hivi, dada zake sijui watakuwaje.
 
Kiuongozi Nape amekosea,Mwigulu amekosea na kigwangala amekosea na wanaonyesha kwa kiwango gani ni wajinga kwenye suala zima la uongozi,kwa nafasi zao inawapasa sana kuchunga ndimi zao,wao kwa akili zao ndogo wanadhani MAGUFULI hana watu,na wanadhani hawamulikwi kwa jicho la karibu.Huu ni wakati wa kutulia hata kama unatafuta cheo kwa nguvu ili mama Samia akuone.
 
Huwa nasema ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na ili ccm iendelee kuwepo ni lazima mwenyekiti wake awe rais wa nchi. Katika mazingira hayo, mawazo na mitazamo yote ya mwenyekiti kwao, ndio huwa dira ya chama hicho. Hakuna ccm ya itikadi, bali ni utashi wa mwenyekiti wao kupitia mamlaka ya urais ndio huwa dira yao.
 
Mh...
 
Magufuli ana watu gani, biashara yake imeisha. Hao watu wa Magufuli sana sana waangalie utawala uliopo usiwatie kwenye mikono ya sheria, maana wengi walishiriki vitendo vya kidhalimu enzi zake.
 
Mh..!
 
Kiuongozi Nape amekosea,Mwigulu amekosea na kigwangala amekosea na wanaonyesha kwa kiwango gani ni wajinga kwenye suala zima la uongozi,kwa nafasi zao inawapasa sana kuchunga ndimi zao,wao kwa akili zao ndogo wanadhani MAGUFULI hana watu,na wanadhani hawamulikwi kwa jicho la karibu.Huu ni wakati wa kutulia hata kama unatafuta cheo kwa nguvu ili mama Samia akuone.
Hata kama Magufuli ana watu ndio watachukua hatua gan labda?!
 
Marehemu mwenyewe alishawahi kufananishwa na yesu na bado alifurahia Sana cheo hicho.
marehemu POMBE alikuwa anahitaji kusifiwa Tu basi anakupa cheo
 
Huwa nasema ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na ili ccm iendelee kuwepo ni lazima mwenyekiti wake awe rais wa nchi. Katika mazingira hayo, mawazo na mitazamo yote ya mwenyekiti kwao, ndio huwa dira ya chama hicho. Hakuna ccm ya itikadi, bali ni utashi wa mwenyekiti wao kupitia mamlaka ya urais ndio huwa dira yao.
Hiki kikundi ni hatari sana kwa mustakabari wa nchi yetu! Hiki kikundi ni zaidi ya Wakoloni walio tutawala kwa miaka nenda hapo kabla!
 
Back
Top Bottom