Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Huyu jamaa sio
unajua maana ya Chawa ?Huyu jamaa sio
Huyo fisi hayupo katika system na atapotea zaidi
Hapana, nijulisheunajua maana ya Chawa ?
Siasa za kuchumia matumbo?Siasa ndivyo zilivyo....
Mh...Huwa nasema ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na ili ccm iendelee kuwepo ni lazima mwenyekiti wake awe rais wa nchi. Katika mazingira hayo, mawazo na mitazamo yote ya mwenyekiti kwao, ndio huwa dira ya chama hicho. Hakuna ccm ya itikadi, bali ni utashi wa mwenyekiti wao kupitia mamlaka ya urais ndio huwa dira yao.
Kiuongozi Nape amekosea,Mwigulu amekosea na kigwangala amekosea na wanaonyesha kwa kiwango gani ni wajinga kwenye suala zima la uongozi,kwa nafasi zao inawapasa sana kuchunga ndimi zao,wao kwa akili zao ndogo wanadhani MAGUFULI hana watu,na wanadhani hawamulikwi kwa jicho la karibu.Huu ni wakati wa kutulia hata kama unatafuta cheo kwa nguvu ili mama Samia akuone.
Mh..!Magufuli ana watu gani, biashara yake imeisha. Hao watu wa Magufuli sana sana waangalie utawala uliopo usiwatie kwenye mikono ya sheria, maana wengi walishiriki vitendo vya kidhalimu enzi zake.
Hata kama Magufuli ana watu ndio watachukua hatua gan labda?!Kiuongozi Nape amekosea,Mwigulu amekosea na kigwangala amekosea na wanaonyesha kwa kiwango gani ni wajinga kwenye suala zima la uongozi,kwa nafasi zao inawapasa sana kuchunga ndimi zao,wao kwa akili zao ndogo wanadhani MAGUFULI hana watu,na wanadhani hawamulikwi kwa jicho la karibu.Huu ni wakati wa kutulia hata kama unatafuta cheo kwa nguvu ili mama Samia akuone.
Hiki kikundi ni hatari sana kwa mustakabari wa nchi yetu! Hiki kikundi ni zaidi ya Wakoloni walio tutawala kwa miaka nenda hapo kabla!Huwa nasema ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na ili ccm iendelee kuwepo ni lazima mwenyekiti wake awe rais wa nchi. Katika mazingira hayo, mawazo na mitazamo yote ya mwenyekiti kwao, ndio huwa dira ya chama hicho. Hakuna ccm ya itikadi, bali ni utashi wa mwenyekiti wao kupitia mamlaka ya urais ndio huwa dira yao.