Imedhihirika wazi CCM ni chama kilichojaza wanafiki na wachumia matumbo.

Hiki kikundi ni hatari sana kwa mustakabari wa nchi yetu! Hiki kikundi ni zaidi ya Wakoloni walio tutawala kwa miaka nenda hapo kabla!
Kikundi hiki watavunja kikoba chao muda sio mrefukila mtu apigiwe hesabu aende zake. Natabiri vikundi vipya kuibuka na ndiyo itakuwa mwisho wao.
 
imenilazimu kucheka kwa nguvu na sauti kama nipo naangalia komedy ya erick omondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…