Imedhirika kuwa Zahera si kocha

Ujue siku zote kuachwa huku bado kazi unaipenda huwa inauma sana.

Kuongea ongea hivyo ndio ahueni yake hivyo wacheni apige mdomo mwisho wa siku maisha Yanga yanaendelea.


Double Standard

Si tulikuwa tunawaambia kuwa Zahera sio kocha ni Dalali na mbabaishaji mukawa munatupinga?
Ona sasa munavoaibika kuanza kumshambulia.
 
Yanga mlipeni Zahera pesa zake acheni uswahili
 
Double Standard

Si tulikuwa tunawaambia kuwa Zahera sio kocha ni Dalali na mbabaishaji mukawa munatupinga?
Ona sasa munavoaibika kuanza kumshambulia.
Yameshapita ya Zahera Mtani. Sasa tunawaza kukufikia hapo ulipo.
 
Ni wapi uliona mtu anamsema vizuri adui yake.Mtu mkishaachana lazima aseme mapungufu yako sasa kama huna kifua chauvumilivu subiri sindano zikuingie vizuri.Chamsingi kama anayoyasema ni kweli rekebisheni sio nanyie kupiga porojo zisizojibu hoja zake.
 
Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali sasa mambo yamekwama amepagawa
Imeridhika? Nini hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…