Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue siku zote kuachwa huku bado kazi unaipenda huwa inauma sana.
Kuongea ongea hivyo ndio ahueni yake hivyo wacheni apige mdomo mwisho wa siku maisha Yanga yanaendelea.
Yameshapita ya Zahera Mtani. Sasa tunawaza kukufikia hapo ulipo.Double Standard
Si tulikuwa tunawaambia kuwa Zahera sio kocha ni Dalali na mbabaishaji mukawa munatupinga?
Ona sasa munavoaibika kuanza kumshambulia.
Imeridhika? Nini hiyo?Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali sasa mambo yamekwama amepagawa