Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe wamoroko walitoa mashinikizo makubwa na vitisho kwa CAF kuhusu rufaa yao kua wanaitaji kushinda na wawe mabingwa wa mezani, la sivyo hawataandaa WAFCON.
Na zaidi sababu zingine zilizojulikana ni Kwamba huyo rais wa CAF ni puppet tu, rais halisi ni makamu wake ambaye ni mmoroko.
Sababu nyingine zilizofichuliwa ni sababu za nchi ya SENEGAL kukataa USHOGA hadharani na kwa kutunga sheria Kali kua atakayekutwa anafanya USHOGA ama ndoa za jinsia Moja anaenda jela miaka 10.
Sababu kuu ya mwisho, rais wa CAF (puppet), kampun zake zinasafarisha mkaa na kuuza nchi ya mazayuni Israel, na nchi ya moroko ni mlango muhimu wa nchi ya mazayuni kuingia afrika.
Kwahio hii ni zaidi ya mpira. Mpira umechafuliwa na kuingiliwa na wahuni. Waafrika wapenda Haki tunasimama na Senegal na tunasisitiza kama sio Senegal basi nchi zote za afrika kasoro wazungu weupe wa afrika tujitoe kwenye mashindano yote yanayosimamiwa na CAF