Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

Wakati huo huku Chunya kuna vijana wapo kwenye michakato ya madini hawajaenda shule na hiyo 1,800,000 unayo ona ni kubwa watu wanaweza kuitengeneza hata mara 5 kwa mwezi. Watu wa serikalini hua tunawaona watu wa njaa njaa tu
Mkuu umena ukweli tupu. Mtu akishakuwa serikalini anakuwa kama mbwa wa kufugwa; hana pa kuchomokea.
 
Ukiona mtu kaanzia diploma jua tu huyo alikua kilaza.ila hongera pia kwa kutokata tamaa.
Usiwe unatoa hukumu kwa jambo ambalo hulijui.!!!

Soma hii itakusaidi kujua kwanini nilianza Diploma 👇👇👇

Kifupi:-
Nilisoma PCB nikapata Division Two paleee Benja Ilala.

Kwahiyo kwa kuwa ulinidharau basi K ya bibi yako mbwa wewe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mkuu umena ukweli tupu. Mtu akishakuwa serikalini anakuwa kama mbwa wa kufugwa; hana pa kuchomokea.
Wapo raia kibaoo serikalini na wanabiashara zao.
Wapo wengii sanaaaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimekuelewa chief..am sorry
 
Hawa wanaochezea chaguzi kipuuzi.

Waache waisome
 
Ukiomba kusoma PhD inajulikana ni miaka mitatu, sasa wanatoaje miezi 18 kama ulivyoelezea Kwenye Uzi mmoja.
Umesoma ukaelewa braza??

Kifupi niliachana ma shule rasmini nikaamua kuwa most of the time enterpreneur.

Masters inatosha, sasa natafuta hela na nazitaka hasaa.

Kwasasa nasubiri 15 Yrs itimie nisepe nikawe ""Full time enterpreneur"

Jifunze kwanza kusoma braza, penda kusoma elewa ndio UHOJI.
usihoji kila kitu bila kusoma kwanza.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ukiona mtu kaanzia diploma jua tu huyo alikua kilaza.ila hongera pia kwa kutokata tamaa.
Mtu akipata division one form four, akaenda kusoma diploma, huyo alikuwa kilaza?
 
Ila ukiangalia vizuri, halmashauri ndio ina hudumia wateja wengi kuliko ofisi zoteee.

#YNWA
Kwamba Halmashauri inahudumia watu wengi kuliko taasisi au wizara zinazohudumia nchi nzima, ni kweli mishahara ni midogo lakini kwenye kuhudumiwa hapo siyo sahihi
 
Wadau naomba njia ya kuchomoka mm nna diploma in sec education masomo y science nmeajiriwa mwaka juzi nahtaj kwend kusoma n ikiwezekana nibdl kitengo niachane n kusaga chaki nifanyeje hapa wakuu?
 
Wadau naomba njia ya kuchomoka mm nna diploma in sec education masomo y science nmeajiriwa mwaka juzi nahtaj kwend kusoma n ikiwezekana nibdl kitengo niachane n kusaga chaki nifanyeje hapa wakuu?
Unataka ubadili uende kitengo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…