KwakweliMshahara wetu umedumaa ilihali gharama ya maisha inarefuka
Wengi sanaaa tuna ndoto hizo.Sahihi kabisa. Kwenye kujiajiri, mtaji unachukua sehemu kubwa sana ya mafanikio. Bila ya mtaji, huko kujiajiri kwenyewe hugeuka tena na kuwa shubiri.
Kuna mambo ukiyaangalia ni ROHO MBAYA tu.Ila ukiangalia vizuri, halmashauri ndio ina hudumia wateja wengi kuliko ofisi zoteee.
#YNWA
Haitakaa itokee bro. Dunia haina usawa.Nachomaanisha "Usawa wa mishahara"
Kama kuumia WAUMIE WOTEE
Kama ni kuneemeka WANEEMEKE WOTE.
#YNWA
🤨😐😶😶Si bora nyie mnaolipwa hizo 700k sisi tunaolipwa laki na kumi kwa mwezi ni nani atatutetea?
Kwahiyo halmashauri waendelee kuumia?Haitakaa itokee bro. Dunia haina usawa.
Sasa wewe mtu unamlipa laki 7 halafu una mwambia asimamie mradi wa mil 500 UNATEGEMEA NINI😳😳😳???Huko Ndiyo Kuna Vyanzo Ya Pesa Na Upigaji Hatari Sana Hati Chafu Miaka Tele
Posho zipo lkn inategemea na hekima ya Boss mliye nae
Nimefananisha mshahara mkuuKwamba unalinganisha mafisadi na duka la mangi?
🤔🤔🤔
#YNWA
Nategemea Mkuu 2025 Kuikataa Ni Ile Ile Ili Wote Tule Keki Bila Kujari UlipoSasa wewe mtu unamlipa laki 7 halafu una mwambia asimamie mradi wa mil 500 UNATEGEMEA NINI😳😳😳???
#YNWA
Kwenye mahakama wenye hela ni Majaji, msajili,chief court administrator, incharges wa RM court, incharges wa Mahakama ya wilaya, deputy registrasMkuu hata mahakama Hali ni hiyo hiyo
Mama aione kwny jalada ni mateso kiukweli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanaweza kuongezewa ila wote kuwa sawa serikali nzima haiwezi kutokea bro.Kwahiyo halmashauri waendelee kuumia?
#YNWA
Unaonea huruma walimu kwanini isiwe masjala ,secretaries ,na wengineoSalaam ndugu Wana JF...
Naambiwa "Mama" yetu raisi wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kaz yake nae ni kukusanya kodi na ushuru.
Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)..???
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu anashavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE.
Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"".
Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government...!!!
Kwa upande mwengine.
Ukiangalia bungeni wanatupa sanaa lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sanaa juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyotee nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwatu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya.
Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe.
Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva...
Katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake?
Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Mifumo ya posho,sheria, KANUNI na taratibu za serikali nyingi siyo mbaya.Binafsi nafikiri wangeangalia upya mfumo wa Posho kwani kuna kuwa hela nyingi sana inafloat. Nafikiri ingesaidia Kuboresha mishahara bila kuadhiri bajeti.
Nijuavyo huko sector Binafsi hakuna sana mfumo wa posho na ndio sababu watu hufikiri mishahara ni mikubwa.
Ila kiuhalisia huko Serikalini kuna idara nyingi tu zima mishahara mikubwa sana kuliko private tofauti yake huupata kupitia posho
Lila na filaNategemea Mkuu 2025 Kuikataa Ni Ile Ile Ili Wote Tule Keki Bila Kujari Ulipo
Ubaya Huu Umeletwa Na Ccm "Lira Na Fira Havichangamani "
Umeandika point sana. Mama anasoma humu atasikia na atafanya.Salaam ndugu Wana JF...
Naambiwa "Mama" yetu raisi wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kaz yake nae ni kukusanya kodi na ushuru.
Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)..???
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu anashavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE.
Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"".
Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government...!!!
Kwa upande mwengine.
Ukiangalia bungeni wanatupa sanaa lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sanaa juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyotee nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwatu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya.
Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe.
Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva...
Katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake?
Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Kumbuka kuna watu wanaitaka hyo pesa kidogo mkuu. Tushukuru tunachopata hata kama ni kidogoSalaam ndugu Wana JF...